lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Jomba huyo mtoto ana sera gani za kuisambaratisha CCM..manake hatuoni sera za chama hiki..wanatalatapa tuNdugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zeroNdugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Lissu alikosa kitu kimoja tu ili aimalize CCM na icho kitu ameshakipata. Ni Sheikh Ponda Issa Ponda.Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Kama Chadema watafikisha wabunge 10 Nita amini Salum mwalim akifanya kazi nzuri.
Wabunge kumi tena,sio kukosa kabisa kama mlivyokuwa mnajitapa hapo mwanzoni. Endeleeni kuongeza idadi mpaka wafike Mia.Kama Chadema watafikisha wabunge 10 Nita amini Salum mwalim akifanya kazi nzuri.
Salum mwalimu mwenye asili ya Kasulu. Yasemekana babu yake enzi hizo alibebwa na mawarabu na kwenda visiwani. Anazungumza sana tena points za msingi. Kongole kwakeNdugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Eh ndiyo vilivyo shida tenaKURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA
KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)
WAPINZANI HAMPATI KITU.
KUWENI MAKINI
Nimemuona huko alikopita anajenga hoja kuliko Samia na Majaliwa,Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Haliondoki Box la Kura kwenye Kituo changuKURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA
KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)
WAPINZANI HAMPATI KITU.
KUWENI MAKINI
kwa hiyo mawakala wa kazi ganiKURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA
KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)
WAPINZANI HAMPATI KITU.
KUWENI MAKINI
Ok ccm wakijaribu huu uhuni ndo mwisho wao , wakifuata utaratibu huenda wataambulia 20% ya kura na wabunge wachacheKURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA
KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)
WAPINZANI HAMPATI KITU.
KUWENI MAKINI
Wewe hustahili kuwa Jamiiforums. Salumu Mwalimu ni mgombea urais wa Zanzibar?Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero