Uchaguzi 2020 Watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna huyu anafanya maangamizi balaa

Uchaguzi 2020 Watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna huyu anafanya maangamizi balaa

CCM wameshasambaratishwa sasa hivi tukonaye na Tume NEC/ZEC ili kudhibiti kisanduku ya Kura ya ziada na Wapiga Kura hewa
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Niliwahi sema hum kwamba dam changa ya chadema sio mchezo, mbwe sio mtu wa kawaida, Moto ,moto si wa kawaida alafu ka relax ,mbowe ulichowafanyia ccm si Cha nchi hii
Ulisema nyuma kwamba watu wataruka kichurachura si kuelewa ila nayaona
 
Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
Mkuu ni kweli Leo nilienda kusalimia wazee wangu.nimemkuta mgombea udiwani Wa ccm anamsaundisha Mzee,kuwa watatoa usafirri kwa wasiojiweza kuwapeleka kituoni kupiga kura na kuwarpudisha home.
 
Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero
Kweli upumbavu mzigo aliekua mgombea urais zenji n makam mwenyekiti n sio makam katibu mkuu rubish
 
Lissu kapigwa risasi ila kapona halafu ni mwanasheria,hivyo anaweza kabisa kuongoza nchi.
 
Huyo Bwana ndiye anashikilia record ya kugombea ubunge na kukataliwa pande zote za muungano!
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Sisi ambao tuna connection tumeshajua hata vyombo vyenye bunduki vitakuwa upande wa wananchi.
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Jifarijini bado siku tatu mtapoteana
 
Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero
Wewe huzijui siasa kabisa. Kiufupi hujui kitu kabisa kuhusu uchaguzi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano na serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Hujui.
 
Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi

Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=

Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.

Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.

Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.

Haki huinua TAIFA

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]umeandika kama unatania mimi nakazia,wakifika watano nitakubaoiana na mleta mada.
Mbowe kachooka, mnyika hoi, viongozi wote wa saccos kimyaa! Wabunge 5 watatoa wapi?
Huyo poyoyo wao Salum Mwalimu, elimu HAKUNA eti certificate in journalism ndo awe makamu wa rais wa JMT? Kweli? Huyo ni Kama yule malyamungu enzi za idd amin alikuwa hajui kusoma kwa enzi za Sasa elimu ya Salum Mwalimu ni Kama mbumbumbu wa enzi za Amin.
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu. Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Pamoja na Kongole ( Sifa ) zako zote kwa Salum Mwalimu ila kwa tunaomjua katika 'Tasnia' ni kwamba 'Jamaa' ni mwana CCM Mwenzetu mzuri tu.
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu. Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Bangi kazini
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu. Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
mwalimu hajulikani hata alipo.wiki jana aliishiwa nauli na wapambe wake wakisubiri pesa makao makuu,kama si yule bwashee mfanyabiashara ya vipuri,saa hizi mwalimu angekua kajitoa
chadema wamemuacha lissu apambane na hali yake,hakuna mwenyekiti wala makamo,Km na NKM wote hawapo na mgombea wao
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu. Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Duuuuuuu unamdanganya nani? Kwa lipi Watanzania watawapigia CHADEMA??? Wanapinga miradi yote ya maendeleo; sasa watawaendeleza vipi??????? Eti Salum Mwalimu ninayemjua awe Makamu wa Rais???? Kichekesho cha karne.
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu. Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Hivi ni watanzania wangapi na ambao wanaweza kubadilishwa kwa maneno ya mgombea?! You are talking of undecided voters ambao wanabadilishwa na maneno au ushawishi wa mgombea ...yaani eti CCM au Chadema kindakindaki abadilishwe na maneno ya JPM au kibaraka Lissu?!?! For your information kwa nafasi ya urais mamilioni ya Watz walishaamua kabla ya kampeni ni Nani watampa kura na wengi Wao hata kwenye mikutano ya kampeni hawafiki...vichinjio vyao viko mfukoni tayari kwa matumizi ya Oktoba 28...electoral politics za Africa ni tofauti mno na zile za ulaya...
 
Back
Top Bottom