Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shhhhhhhh !! Mkuu usiwashtue....
Sera yao mojawapo ni kuuza ndege zote alizonunua Magu na pesa yake kusambaza maji Nchi nzima husan kule ambapo maji ni shida kubwa kama huko Chato.Jomba huyo mtoto ana sera gani za kuisambaratisha CCM..manake hatuoni sera za chama hiki..wanatalatapa tu
Salum ana kipaji cha kutoa hamasa ila hajawahi fanikiwa kuongoza popote alipopitaNdugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Unaona ulivokuwa huna taarifa...tangu lini mwalimu alikuwa anagombea Urais zanzibarKwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero
Nchi itawaka moto hii msicheze na uchaguzi mkuu huu, watu wamejiandaa kwa shari au kwa kheri.KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA
KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)
WAPINZANI HAMPATI KITU.
KUWENI MAKINI
Kinondoni.Salum ana kipaji cha kutoa hamasa ila hajawahi fanikiwa kuongoza popote alipopita
Tundu ana kipaji cha kutengeneza uwongo na mrongo hawezi kuwa rais
Kuna Lissu. Amekuja Maalim Seif na ACT, nguvu ikaongezeka! Ametua Ponda ndio kathibitisha ushindi. Iwe iweje ushindi ni lazima. Labda tu hii tume, lakini kama kila kura ingepewa haki bila zingine kukatwa au kuongeza Lissu ni raisi ajaye.Lissu alikosa kitu kimoja tu ili aimalize CCM na icho kitu ameshakipata. Ni Sheikh Ponda Issa Ponda.
Kuna nguvu kubwa sana nimeiona ya ushawishi ya Sheikh Ponda Issa Ponda ambayo imehitimisha kuwa Ccm haiwezi shinda mwaka huu, iwe kwa mtutu na ghiriba au kwa haki
Alishinda nini mkuuAlishinda
kinondoni
Mlianza kwa kusema wawili (2) sasa imekuwa 10?Kama Chadema watafikisha wabunge 10 Nita amini Salum mwalim akifanya kazi nzuri.
Hivi kwa nini mtu akiandika statement kama hii yako hapa watu wanamchukulia ni wa kutoka upinzani hasa Chadema.Bado sikumbili watanzania wakatimize hakiyao ya msingi
Huyohuyo Sasa mmemuona hatoshi kwenye nafasi hiyo kwanini...tafakari jombaHuyu sijui Babeli gani juha wa kiwango cha lami! Zanzibar kuna mgombea anaitwa Saidi Issa Mohamed. Kama huna ushahidi usipende kuropoka hovyo.
Nimemsikiliza. Kijana anakipaji cha kujenga na kuelezea hoja. " I dare say: He is a role model to the new generation".Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Duh! , Hebu tumegee wamefafanua vipi kuhusu -kazi za wasio julikana, fao la kujitoa, bei za mazao yetu, kikokotoo kipya, ajira,....Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
Kabisa mkuu ndio mana sikuona tabu kuhudhuria lakin kura ni siriNa kura wata kulazimisha umpigie mccm?!
We nenda kale, hata ulale huko, kura ni kwa Lisu na chadema tu.
Ofcz kuna mambo mengine walikua wanafanya ulaghai tu sema kwakua wengi understanding yao ni ya chin sana (na huu ndio mtaji wao) huku nje ya mji mikoan ambako akina mama ndio wahudhuriaji basi wala hawahoji.CCM wanafanya ulaghai sio ufafanuzi,
Ok, hata hivyo muda umeshakwisha na Salum keshaharibu Sana.Hahaha umestuka eh?
Hata mimi nilitaka kuleta mada za kumsifu huyo kijana lakini nikaona ninyuti tu ili nisiwastue.
Mikoa ya Kusini ambako walimfanyia Lissu figisu asihutubie, Salum Mwalumu aliiga kazi nzuri sana!
Nakuambia hivi Mungu jaalia Tundu atangazwe kuwa Mshindi.Salum ana kipaji cha kutoa hamasa ila hajawahi fanikiwa kuongoza popote alipopita
Tundu ana kipaji cha kutengeneza uwongo na mrongo hawezi kuwa rais