Uchaguzi 2020 Watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna huyu anafanya maangamizi balaa

Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero
Salum mwalimu hakugombea urais znz,znz alikua yule wa madevu(sorry simjui kwa jina)
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Ukipata fursa ya kumsikiliza Salum Mwalimu lazima umkubali tu
 
Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero
Unamjua Salum?
 
Lissu alikosa kitu kimoja tu ili aimalize CCM na icho kitu ameshakipata. Ni Sheikh Ponda Issa Ponda.
Kuna nguvu kubwa sana nimeiona ya ushawishi ya Sheikh Ponda Issa Ponda ambayo imehitimisha kuwa Ccm haiwezi shinda mwaka huu, iwe kwa mtutu na ghiriba au kwa haki
Sheikh Katimba siku hizi simuoni,yupo vizuri
 
This
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
True imetusomesha namba wacha izisome kura zetu
 
Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
CCM wanafanya ulaghai sio ufafanuzi,
 
Bashiru, polepole na police ndizo zimeihujumu ccm izidi kuchukiwa na watz. This time vijijini ndio imechukiwa zaidi sababu ya njaa kuliko hata mjini
 
Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Huna akili.Mpaka dakika ya mwisho bado mnajanasibu ? Salum Mwalimu naye ni wakongelewa kweny siasa za Tanzania /
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Kuna yule jamaa huwa anaongea kabla ya Lissu huwa anavaa kofia na miwani myeusi na ana mzuzu mweupe huwa ni nani?
 
Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
Umesema kweli kabisa. Hii imani kuwa Lissu atawabeba inaweza kuwatokea puani.

Amandla...
 
Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
Na kura wata kulazimisha umpigie mccm?!

We nenda kale, hata ulale huko, kura ni kwa Lisu na chadema tu.
 
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.

Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.

Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Alisoma IFM hakuna kitu pale
 
Mwalimu yupo vizuri sana kichwani,kuliko yale MATAGA ambayo,yamehodhi vyombo vyote vya Habari
 
Back
Top Bottom