Salum mwalimu hakugombea urais znz,znz alikua yule wa madevu(sorry simjui kwa jina)Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero
Ukipata fursa ya kumsikiliza Salum Mwalimu lazima umkubali tuNdugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Unamjua Salum?Kwanza Yeye mwenyewe amepigwa chini kwenye ugombea Urais Zanzibar..kaonekana hatoshi kamwachia maalim Seif was ACT..chama kingine kabisa...Sasa huyo ana impact gani..hata akiwa anashinda na kulala barabarani..Ni sawa na zero
Sheikh Katimba siku hizi simuoni,yupo vizuriLissu alikosa kitu kimoja tu ili aimalize CCM na icho kitu ameshakipata. Ni Sheikh Ponda Issa Ponda.
Kuna nguvu kubwa sana nimeiona ya ushawishi ya Sheikh Ponda Issa Ponda ambayo imehitimisha kuwa Ccm haiwezi shinda mwaka huu, iwe kwa mtutu na ghiriba au kwa haki
True imetusomesha namba wacha izisome kura zetuNdugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
CCM wanafanya ulaghai sio ufafanuzi,Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
Pamoja na engua engua kwa nguvu ya umma watatangazwa zaidi ya haoKama Chadema watafikisha wabunge 10 Nita amini Salum mwalim akifanya kazi nzuri.
We jamaa mbona unauchukulia huu uchaguzi poa Sana.Vyombo vya usalama wenyewe wameshanusa harufu kuwa mambo Ni magumu mbona we hutaki kuelewa hiliKama Chadema watafikisha wabunge 10 Nita amini Salum mwalim akifanya kazi nzuri.
Utaelewaje na wewe akili wamekuachia za kuvukia barabara tu?Jomba huyo mtoto ana sera gani za kuisambaratisha CCM..manake hatuoni sera za chama hiki..wanatalatapa tu
Bado siku 3 huwa unahesabuje weweBado sikumbili watanzania wakatimize hakiyao ya msingi
Said MohamedSalum mwalimu hakugombea urais znz,znz alikua yule wa madevu(sorry simjui kwa jina)
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaGuys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
Huna akili.Mpaka dakika ya mwisho bado mnajanasibu ? Salum Mwalimu naye ni wakongelewa kweny siasa za Tanzania /Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Kuna yule jamaa huwa anaongea kabla ya Lissu huwa anavaa kofia na miwani myeusi na ana mzuzu mweupe huwa ni nani?Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.
Umesema kweli kabisa. Hii imani kuwa Lissu atawabeba inaweza kuwatokea puani.Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
Na kura wata kulazimisha umpigie mccm?!Guys ccm wako serious sana tusijipe moyo kishabiki.Huku level za chinj jmaa wanapita nyumba kwa nyumba wakituita kwenye mikutano ya vitongoji .Jamaa wanawafafanulia watanzania kuhusu ishu zote ambazo upinzan wanazilalamikia.
Niko kwenye mkutano hapa jamaa angu kanifuata ni mjumbe mpaka nikaona aibu kumchomolea.
Alisoma IFM hakuna kitu paleNdugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu.
Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa.
Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua.
Kwa kifupi CHADEMA wanaisambaratisha CCM kabisa.