Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kuandika kingereza ndio educated?
Kuwa smart! leo palikuwa na taarifa za degree za mchongo. Hizo connection ndo mnaleta elimu butu vingereza vingi ila vichwa empty.
www.mwananchi.co.tz
Kuwa smart! leo palikuwa na taarifa za degree za mchongo. Hizo connection ndo mnaleta elimu butu vingereza vingi ila vichwa empty.
RIPOTI MAALUMU: Janga la shahada za ‘mchongo' kwenye vyuo vikuu nchini
Wanachofanya wanafunzi hao ni kuandaa jina au pendekezo la utafiti na pindi linapopitishwa na wasimamizi wao kinachofuata ni kuwakabidhi watu hao shughuli zote zinazofuata.