Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
🌙Acha mtusi ya lejaleja wew
una DSTV nyumbani kwako?Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
🌙ili wawe na iq kubwa wanatakiwa wabishane kuhusu vitu gani?
100%Ndio vitu vinavyowaweka busy watu masikini..wao wanawaza ngono,wanabishana kuhs mpira na huwaambia kitu khs mafuta na chumvi ya upako...
IQ, ni Concept ya kipuuzi kwanza haina uhalisia (actual score) kama ilivyo umri. So kumjudge mtu kama ana low IQ, pia wewe utakuwa na tatizo la akili, 😀😀 na vile ukibisha kama huna tatizo la akili ndipo unadhihirisha unatatizo kubwaWatu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
Tuambie Wewe unabishana kuhusu Nini tuone Kama una akili au huna.Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
IQ ni nini na unaipimaje?Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
Wabongo wengi kama mtoa mada wanapenda kukariri vitu na hii dhana ya IQ wameikariri sana.IQ, ni Concept ya kipuuzi kwanza haina uhalisia (actual score) kama ilivyo umri. So kumjudge mtu kama ana low IQ, pia wewe utakuwa na tatizo la akili, 😀😀 na vile ukibisha kama huna tatizo la akili ndipo unadhihirisha unatatizo kubwa
Kwaiyo waarabu wote wana IQ ndogoWatu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
Acha mtusi ya lejaleja wew
Hao ni wa akili za kati, wa akili ndogo wao huongelea kuhusu watu.Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo