Watu wanaofanya kazi na shetani kula watu wenzao

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine.

Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala.

Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi kuwapata kondoo wake kirahisi.. achinje na kuharibu

Unaweza mpa shetani Uzao wako akakupa utajiri wa pesa,
Au unampa mke na ndugu zako wengine, kisha unakua na nguvu kubwa na pesa.

Unaweza pewa dili na shetani kuharibu maisha ya mke au Mume wako.

Shetani anaangalia una nini ?
Kama wewe ni kiongozi mfano Rais au polisi, shetani unamfaa sana.

Ukiwa mmliki wa mabasi, anajua ukimpa damu kwa ajari ni fresh unyama.

Shetani anatamani kuuwa Sana sema yeye ni Roho hana mikono, anatafuta wa kumpa kazi hiyo..

My Nation 😣😭😭😭😭
 
tumekuelewa hata kama hujamtaja moja kwa moja uliyetaka kumtaja
 
Inawezekana Shetani Ndio Mungu.
Maana yeye mambo yake mazuri Tu kuliko Yale ya Mungu
 
Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine.

Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala.

Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi kuwapata kondoo wake kirahisi.. achinje na kuharibu

Unaweza mpa shetani Uzao wako akakupa utajiri wa pesa,
Au unampa mke na ndugu zako wengine, kisha unakua na nguvu kubwa na pesa.

Unaweza pewa dili na shetani kuharibu maisha ya mke au Mume wako.

Shetani anaangalia una nini ?
Kama wewe ni kiongozi mfano Rais au polisi, shetani unamfaa sana.

Ukiwa mmliki wa mabasi, anajua ukimpa damu kwa ajari ni fresh unyama.

Shetani anatamani kuuwa Sana sema yeye ni Roho hana mikono, anatafuta wa kumpa kazi hiyo..

My Nation 😣😭😭😭😭
Umeamua kumchana shetani live!
Ila mo29 shetani alipewa damu nyingi Sana.
 
Kama Mungu na Shetani wote wanagawa utajiri kusingekuwa na watu masikini duniani.
Note:
Utajiri wa pesa ni kwa shetani,
Lakini kwa Mungu, utajiri anao toa niwa viwango, milele, uhuru, na kweli, kutawala milele
Ila process sio nyepesi aloo
 
Porojo tu hizi, hata wewe unaweza kuyasema haya.
Tenaa poroja haswa mkuu km za viongozi wa ccm
FB_IMG_1781950308436.jpg
 
Back
Top Bottom