Alafu dunia ina principle zake.Ulikua na maana gani kusema "anataka ndgu zako wa karibu kama mkeo na watoto"?
Nachouliza ni kua huyo shetani yeye anaoffer nini? Mbna inaonekana hana nguvu mpaka anategemea binadamu wamfanyie, na umesema yeye halipi ila hao jamaa zake "royal family" ndo wanalipa.
Na umedai yeye ni roho hana mwili wa nyama, anatoa nini kwa hiyo "royal family"?
Acha janja janja basi, elezea huyo shetani anakupaje mali?Hivi unajua thamani ya "Wazo" ?
Wazo la kutengeneza simu unajua lina thamani ya sh. Ngapi ?
Shetani anaakili dunia, mwelevu kuliko hayawani wote wa mwituni
Ndio,Acha janja janja basi, elezea huyo shetani anakupaje mali?
Kwamba hatoi pesa na hana pesa ila ana hilo "wazo"??
Sasa si inajulikana wazi bosi anapata pesa kupitia huduma ya hao waajiri wake, huyo shetani kama ndio boss anapataje faida kifedha ili awarudishie asilimia kadhaa hao wafanyakazi akiwemo secretary??Ndio,
Nikimwambia secretary akilipa mishara kwa wafanya kazi hizo pesa wafanyazi wanakua wamelipwa na sekretary au boss wao ?
Hakuna kitu kama hicho shetani hayupo ni scam. Mtu anajaribiwa na tamaa yake mwenyewe.Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine.
Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala.
Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi kuwapata kondoo wake kirahisi.. achinje na kuharibu
Unaweza mpa shetani Uzao wako akakupa utajiri wa pesa,
Au unampa mke na ndugu zako wengine, kisha unakua na nguvu kubwa na pesa.
Unaweza pewa dili na shetani kuharibu maisha ya mke au Mume wako.
Shetani anaangalia una nini ?
Kama wewe ni kiongozi mfano Rais au polisi, shetani unamfaa sana.
Ukiwa mmliki wa mabasi, anajua ukimpa damu kwa ajari ni fresh unyama.
Shetani anatamani kuuwa Sana sema yeye ni Roho hana mikono, anatafuta wa kumpa kazi hiyo..
My Nation 😣😭😭😭😭