Porojo tu hizi, hata wewe unaweza kuyasema haya.Huyu ndio nabii ambae kwa bongo kazi yake iko vizuri. Bongo manabii wajanja wachache.
View: https://youtu.be/KA-jy-Eo0cU?si=MOSpvYkVgiEsMFbn
Being a prophet may be scary, but whatβs even scarier is how many people claim to be prophets while simply lying to others.Being a prophet is scary
Huyo uliesema kazi yake ni nzuri, umetumia vitezo gani?Nabii wa kwanza wa maisha yako ni wewe mwenyewe. Wengine ni confimer tu
tumekuelewa hata kama hujamtaja moja kwa moja uliyetaka kumtajaYani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine.
Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala.
Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi kuwapata kondoo wake kirahisi.. achinje na kuharibu
Unaweza mpa shetani Uzao wako akakupa utajiri wa pesa,
Au unampa mke na ndugu zako wengine, kisha unakua na nguvu kubwa na pesa.
Unaweza pewa dili na shetani kuharibu maisha ya mke au Mume wako.
Shetani anaangalia una nini ?
Kama wewe ni kiongozi mfano Rais au polisi, shetani unamfaa sana.
Ukiwa mmliki wa mabasi, anajua ukimpa damu kwa ajari ni fresh unyama.
Shetani anatamani kuuwa Sana sema yeye ni Roho hana mikono, anatafuta wa kumpa kazi hiyo..
My Nation π£ππππ
Anaweza kuwa mjanja mjanja tu kama wengine, sema labda kaongea kinachokufurahisha.Kwenye kutabiri mambo ya taifa kama vile yaliyotokea mo29
Inawezekana Shetani Ndio Mungu.Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine.
Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala.
Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi kuwapata kondoo wake kirahisi.. achinje na kuharibu
Unaweza mpa shetani Uzao wako akakupa utajiri wa pesa,
Au unampa mke na ndugu zako wengine, kisha unakua na nguvu kubwa na pesa.
Unaweza pewa dili na shetani kuharibu maisha ya mke au Mume wako.
Shetani anaangalia una nini ?
Kama wewe ni kiongozi mfano Rais au polisi, shetani unamfaa sana.
Ukiwa mmliki wa mabasi, anajua ukimpa damu kwa ajari ni fresh unyama.
Shetani anatamani kuuwa Sana sema yeye ni Roho hana mikono, anatafuta wa kumpa kazi hiyo..
My Nation π£ππππ
Wote matapeli tuBeing a prophet may be scary, but whatβs even scarier is how many people claim to be prophets while simply lying to others.
Shida manabii wanaongoza kwa kupula nafaka.Anaweza kuwa mjanja mjanja tu kama wengine, sema labda kaongea kinachokufurahisha.
Umeamua kumchana shetani live!Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine.
Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala.
Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi kuwapata kondoo wake kirahisi.. achinje na kuharibu
Unaweza mpa shetani Uzao wako akakupa utajiri wa pesa,
Au unampa mke na ndugu zako wengine, kisha unakua na nguvu kubwa na pesa.
Unaweza pewa dili na shetani kuharibu maisha ya mke au Mume wako.
Shetani anaangalia una nini ?
Kama wewe ni kiongozi mfano Rais au polisi, shetani unamfaa sana.
Ukiwa mmliki wa mabasi, anajua ukimpa damu kwa ajari ni fresh unyama.
Shetani anatamani kuuwa Sana sema yeye ni Roho hana mikono, anatafuta wa kumpa kazi hiyo..
My Nation π£ππππ
Note:Kama Mungu na Shetani wote wanagawa utajiri kusingekuwa na watu masikini duniani.
Tenaa poroja haswa mkuu km za viongozi wa ccmPorojo tu hizi, hata wewe unaweza kuyasema haya.
Hapo unatathimini uumbaji au nini kinapita kwenye akili yakoTenaa poroja haswa mkuu km za viongozi wa ccmView attachment 3660261