Watu wanaofanya kazi na shetani kula watu wenzao

Ni kweli, lakini pia tusichukulie kila mafanikio au kila tukio baya kuwa ni kazi za shetani. Busara, ushahidi na imani viende pamoja. πŸ™
 
Ni hatari sana, ni kwa nini mtu usijitese mwenyewe? Mf. Kuwa hanisi, kidonda kisichopona, kuoza na kufufuka
 
Anao watu kweye system ya Pesa, tena usichojua wachapisha hela shetani ni best yao kinyama,
The Royal family
Sasa kama yeye hawezi fanya chochote anakuoaje hizo pesa?
Hao royal family wanafaidika vipi na ww kutenda dhambi kumfurahisha shetani??

Au yeye shetani mali zake ziko wapi? Kama hawezi kua kama binadamu na akaua, hizo mali alizipataje na yeye ni roho tu bila mwili??
 
Wazo la kuanzisha hela duniani lilitoka kwa shetani akapewa mtu, then hela zikaanza kuchapishwa, toka hapo shetani ana watu wenye pesa uchafu.

Elewa acha ujinga, sijataja neno dhambi hapa, na kufaidika kila mtu anasababu zake, elewa shetani anatoa Nguvu na ushawishi pia, hela ndio inafata
 
Ulikua na maana gani kusema "anataka ndgu zako wa karibu kama mkeo na watoto"?

Nachouliza ni kua huyo shetani yeye anaoffer nini? Mbna inaonekana hana nguvu mpaka anategemea binadamu wamfanyie, na umesema yeye halipi ila hao jamaa zake "royal family" ndo wanalipa.

Na umedai yeye ni roho hana mwili wa nyama, anatoa nini kwa hiyo "royal family"?
 
Hivi unajua thamani ya "Wazo" ?

Wazo la kutengeneza simu unajua lina thamani ya sh. Ngapi ?
Shetani anaakili dunia, mwelevu kuliko hayawani wote wa mwituni
 
Shetani anatamani kuuwa Sana sema yeye ni Roho hana mikono, anatafuta wa kumpa kazi hiyo....!πŸ₯ΊπŸ™‡πŸΏβ€β™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…