Watu wanaofanya kazi na shetani kula watu wenzao

Alafu dunia ina principle zake.
Kama boxing,
Shetani akipigana na wewe ni uonevu, kwahiyo anatafuta kaka yako au mjomba au mama yako.

Shetani akisema akupige yeye ni kama Kumpiga ngumi sisimizi hewani, hata ngumi ije kasi vipi utazidi kumpeperusha sisimizi angani.

Muulize Ayubu kilicho mkuta, msaada wa Mungu ulikuja akiwa kachoka sanaaa
 
Hao watano wa kuondolewa naona watu tayari (Sultani wa Kongwa, Malikia ya permiho na Mfalme wa Isimani)
 
Hivi unajua thamani ya "Wazo" ?

Wazo la kutengeneza simu unajua lina thamani ya sh. Ngapi ?
Shetani anaakili dunia, mwelevu kuliko hayawani wote wa mwituni
Acha janja janja basi, elezea huyo shetani anakupaje mali?
Kwamba hatoi pesa na hana pesa ila ana hilo "wazo"??
 
Acha janja janja basi, elezea huyo shetani anakupaje mali?
Kwamba hatoi pesa na hana pesa ila ana hilo "wazo"??
Ndio,
Nikimwambia secretary akilipa mishara kwa wafanya kazi hizo pesa wafanyazi wanakua wamelipwa na sekretary au boss wao ?
 
Ndio,
Nikimwambia secretary akilipa mishara kwa wafanya kazi hizo pesa wafanyazi wanakua wamelipwa na sekretary au boss wao ?
Sasa si inajulikana wazi bosi anapata pesa kupitia huduma ya hao waajiri wake, huyo shetani kama ndio boss anapataje faida kifedha ili awarudishie asilimia kadhaa hao wafanyakazi akiwemo secretary??
 
Hakuna kitu kama hicho shetani hayupo ni scam. Mtu anajaribiwa na tamaa yake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…