Watu wanaoishi Dar hawana raha ni stress tupu..

Watu wanaoishi Dar hawana raha ni stress tupu..

Shobi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,401
Reaction score
4,391
wakuu!

nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
 
Acha uongo hayo mahekalu ya mikoani yako wapi!

Watu wanakaa Dar kwa sababu maalum wengine wana Bawasili hawatakiwi maeneo yenye baridi.
 
Haya kamsaidie kupangisha ya vyumba 6
 
Mkuu acha kutusemea mbona tuna raha sana na huyo anayeishi nyumba ya vyumba viwili ya laki 2 na 50 ni sawa tu hata wakilala kumi chumba kimoja
 
Write your reply...wakazi wa dar wanamaisha duni sana yani hadi noma bia jiji la Dar kuna watu masikini wengi wanaisha kwenye mabanda unplanned settlement pia Dar ni jiji lenye vijiji ndani yake
 
Write your reply...***Dar sio jiji ni chaka tu lawajasilia tupo# machinga wamejaa barabarani ndio Dar wanawaita wafanya biashara kero tupu
 
Umetimiza ndoto yako kuja Dar. Haya rudi mkoani kwenu ukawadanganye umemuona Diamond live
 
Back
Top Bottom