Wahindi wanaishi hata 20 kkoo na posta kule lakini ndio waongoza kwa kufanya biasharaMkuu acha kutusemea mbona tuna raha sana na huyo anayeishi nyumba ya vyumba viwili ya laki 2 na 50 ni sawa tu hata wakilala kumi chumba kimoja
Dirty citywakuu!
nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
Hahahhahaa hahahaa kweli mmetuchoka aisee