City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Mi naona foleni za huko ndio kero kubwa sana.
Rudi kwenu, bahari si ushaiona?wakuu!
nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
[emoji23] [emoji23] nipo lodge mkuu watu dar niwahurumia nikija hela ya lodge naweka pembeni!Hili povu la kufulia turubai...vepe mwenyeji wako alikulaza chooni!!
nitarudi tu mkuu nipo kwa biashara wala sio kingine nikamaliza narudi nyumbaniRudi kwenu, bahari si ushaiona?
Hivi Dar gani mnayoongolea nyie! Naona mmekazana!Dar hakuna maisha ni kubangaiza tu.....struggle for survival
Ndio maana mtoa mada anaona huruma kuhusu foleni!Inasikitisha kwa kweli, ila kwetu BunjuB viwanja vya mradi hatuna hayo, tatizo la kupenda kukaa karibu na mji, eti Sinza, Mwananyamala, Manzese, Magomeni, Kinondoni, Keko, Kurasini, Makumbusho n.k. n.k.
Waje nje ya miji, kuna viwanja bwelele, waweka boma, utafuga, waweza kuwa na mlinzi wa uhakika (mbwa), bustani, miti ya vivuli n.k. burudani kabisa..
Then huo mfano hauna mashiko ya kuleta hiyo conclusion yako.
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha uongo hayo mahekalu ya mikoani yako wapi!
Watu wanakaa Dar kwa sababu maalum wengine wana Bawasili hawatakiwi maeneo yenye baridi.
Mkuu sitaki kuamini baada ya kuumiza kichwa kweli kweli hatimaye ukaja na comment hii.Write your reply...Dar hakuna nyumba kuna mabanda tu
Achana nao hawa kenge. Sijui Dar wanayoizungumzia ni Dar ipi. Sehemu ninayoishi kuna maji ya uhakika toka mwaka 1998. Hata yakikatika ni siku moja au mbili. Hilo joto tunalisikiaga tu.Mkuu sitaki kuamini baada ya kuumiza kichwa kweli kweli hatimaye ukaja na comment hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahekalu ya mikoa.... Zile mbavu za mbwa.... At usafiri taabu wakati watu wanaendesha vogueAcha uongo hayo mahekalu ya mikoani yako wapi!
Watu wanakaa Dar kwa sababu maalum wengine wana Bawasili hawatakiwi maeneo yenye baridi.