Watu wanaoishi Dar hawana raha ni stress tupu..

~ Maisha ya "jiji la Dar" ya hovyo sana, mji hauna mpangilio kabisa, kuna mazingira ukienda kuishi unaongeza stress tu.

~ Nyumba nyingi zina viwango duni sana, wengi wenye familia tunaishi kwenye "compact houses" hadi huruma kwa watoto wetu.

~ Vipato vya wengi wetu havikidhi mahitaji makubwa ya mji huu, usafiri, basic needs za familia zetu na luxuries japo kidogo.

~
 
wakuu!

nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
Uko sahihi sana,Dar hata kama una gari na nyumba,maisha ya Dar ni mchakamchaka,kelele,vurugu n.k.nina furahia sana maisha huku mkoani,ingawa baridi ndio inanitesa.Umeme hazipiti siku mbili lazima ikatike,maji ya kuflash kwenye vyoo na kuoga lazima uwe na ndoo,huku mkoani maji ya kumwaga raha tupu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuuzie heater ndogo portable yatumia zaidi mafuta ya taa na umeme kiduchu used from Japan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wageni wataona kama wenyeji wa dar wanateseka. Kwa upande mwingine nao wa dar wanawahurumia wa mikoani jinsi wanavyotaabika.
 
Acha uongo hayo mahekalu ya mikoani yako wapi!

Watu wanakaa Dar kwa sababu maalum wengine wana Bawasili hawatakiwi maeneo yenye baridi.
hahaaaa " Aisee bawasili tena "!! nilidhani zitakuwa sababu maalum zakiutafutaji " daahhh hahaa
 
Dar ovyo ovyo aisee..kama unakipato cha kawaida,,hakuna uzuri wa kuishi dar..

Dar uzuri ninaouona ni unaweza kupata kila kitu unachokitaka..besides that,hakuna kingine cha maana,,maisha ya hovyo hovyo tu ili mradi siku zinaenda
 
wakuu!

nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
Kwahiyo kila mtu ana watoto watatu na amepanga vyumba viwili? Au ulitaka kusema nini
 
Kweli mkuu nimeishi sana Dar maisha ni magum ukiwa na hela hata ukiwa huna. Sasa nipo mkoani naona maisha mazuri hewa safi chakula kingi ingawa mzunguko wa hela mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar hovyo sana, foleni ndio kero namba moja. Mtu anatumia muda mwingi kwenda kazini na kurudi nyumbani... Utaacha kuwa na stress.
Na ukisikia unapata kero za kimjini mjini, kama foleni za bagari, na mbanano, huko shamba kero zake pia zipo, kama kuchepuka kichakani, wa wakati wa tukio Unang'atwa mbweha. Kila sehemu na Kero zake, ila za mkoa ni nyingi mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu!

nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
Hili povu la kufulia turubai...vepe mwenyeji wako alikulaza chooni!!
 
Back
Top Bottom