Sio kila anaekaa Dar ni mzaramò kuna watu wa chato na koromije pia wengi tuasante mzaramo!
basi wewe pia ni wakuja dar
AiseeeeNikienda nje Jiji la Dar naona mwili wote mwepesi....lakini nikikaribia jiji la Dar nahisi kichwa kinanigonga sana....
Kwa Kweli hapa Dar watu tunakaa tu basi lakini Hakuna maana ya maisha...it's just surviving
Watu wa vijijini bwana! Wivu wa kimaendeleo tu na Watu wa Dar ndio unaowasumbuawakuu!
nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
Usijali mkuu. Ipo siku utakuja kuishi dar na ndoto zako zitatimiawakuu!
nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
Sasa kwa akili yako na upeo wako iv watu wa Dar na mikoani kwa kuangalia hata kimuonekano utagundua wakina nan wanastress na maisha magumBila shaka hunijui sasa wivu wa maendeleo gani hasa? stress au joto
Umehamaki kwa mafeelings, is it real? Au anakuzaAiseeee