Watu wanaoishi Dar hawana raha ni stress tupu..

Watu wanaoishi Dar hawana raha ni stress tupu..

Sasa kwa akili yako na upeo wako iv watu wa Dar na mikoani kwa kuangalia hata kimuonekano utagundua wakina nan wanastress na maisha magum
[emoji23] [emoji23] muonekano wa kitambi au nini?
 
Papa tunanunua elfu 10,Nyuma na mbele..bia 1500,nalala masaa matatu tuu..utanipelekaje nanjilinji hata ukinilipa million 2 kwa mwezi naanzaje kuacha utamu wa dar?.

Tafadhali babu kiepe yai 2000,midem ya kuzoaaa...
 
Write your reply...wakazi wa dar wanamaisha duni sana yani hadi noma bia jiji la Dar kuna watu masikini wengi wanaisha kwenye mabanda unplanned settlement pia Dar ni jiji lenye vijiji ndani yake
Huko mkoani kwako vijiji vipo hewani?
 
Dar hakuna maisha ni kubangaiza tu.....struggle for survival
 
Ukikaa kwenye foleni umetaka.

Shuka tembea.

Shuka kodi boda boda.

Na kujiongeza pia kazi?
Utoke kazini jioni ile umechoka hasa ushuke kwenye daladala utembee?

Kukodi bodaboda si hadi uwe na hela, unadhani watu wanakomaa na daladala ilhali bodaboda wanaziona wanapenda?

Inategemea na route =unatoka wapi kuelekea wapi na muda gani
 
Simple logic.

Umetoka kazini umechoka hautaki foleni, kodi boda boda.

Umetoka kazini umechoka hautaki foleni na hauna hela, shuka tembea.

Umetoka kazini umechoka, hela hauna na huwezi kuapply options za juu hapo tulia ndani ya basi.
 
.................
 
wakuu!
nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu
dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha...
leo niongelee makazi
unakuta mtu ana watoto watatu pamoja na house girl lakini amepanga vyumba viwili(watu karibu 6 wanalala vyumba viwili kodi kwa mwezi 250,000) watu wanashinda nje wakiongea muda ufike akalale! usafiri tabu tupu... mikoani unakuta mtu anamaisha ya kwaida lakini ana nyumba kama hekalu kila mtoto ana chumba chake!
Siyapendi kabisa maisha ya dar...
Inasikitisha kwa kweli, ila kwetu BunjuB viwanja vya mradi hatuna hayo, tatizo la kupenda kukaa karibu na mji, eti Sinza, Mwananyamala, Manzese, Magomeni, Kinondoni, Keko, Kurasini, Makumbusho n.k. n.k.
Waje nje ya miji, kuna viwanja bwelele, waweka boma, utafuga, waweza kuwa na mlinzi wa uhakika (mbwa), bustani, miti ya vivuli n.k. burudani kabisa..
 
wanangania hapo mjini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom