Watu wanaoishi Dar hawana raha ni stress tupu..

Mkuu acha kutusemea mbona tuna raha sana na huyo anayeishi nyumba ya vyumba viwili ya laki 2 na 50 ni sawa tu hata wakilala kumi chumba kimoja
Wahindi wanaishi hata 20 kkoo na posta kule lakini ndio waongoza kwa kufanya biashara
 
umefika posta,masaki,mikocheni ,kinyerezi,mbezi beach,upanga,kariakoo,kijiyonyama,sinza ,tabata,boko bunju

,au umefikia manzese ukadhani ndio dar
 
haya piga picha kwenye magari ya mwendokasi ukawatambishie wenzako huko kwenu.....watu wa mikoani mna shida nyie, ndo maana hatuwapendagi mje huku!!
usisahau kula pweza mida ya jioni jioni uongeze nguvu mubashara kabisa
 
Dirty city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…