Watu wanaokunywa Pombe wanaonekana wanafurahia maisha kuliko wasiokunywa

Utafiti huo umeufanyia bar?

Sasa mtu asiye mlevi atafurahi vipi akiwa bar?

Ushawahi kumkuta asiyevuta bangi kijiwe cha wahuni, ni hana amani kabisa, anawaza nikikamatwa mimi hapa itakuwaje?😂

Sisi sio walevi wa alcohol na tuna amani, fanya utafiti wako upyaaa
 
Aisee nimekuwa nikipita hapa Polis Mess na sometimes mess ya Jeshi Wtz kumchukulia CH4CH2OH( pombe) mke wangu.

Nachukua kama dakika kadhaaa kutupia macho hapa na pale...
Kautafiti kako mkuu ni 100%, mm situmii CH4CH2OH lakini, wale jamaa wana furaha sana hilo huwa national tukiwa mpirani kweye bar tofauti tofauti
 
Sorry hii nyimbo kaimba nani mbona beat kali aiseeee......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…