Aisee...!Habari wadau.
Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo ?
"Hawezi elewa" in Kenyans voiceMzee wetu Lowassa alisema ELIMU, ELIMU, ELIMU.
Ngoja wajuvi waje wakupatie elimu
Kasi yake na upatinanaji ni ChangamotoHabari wadau.
Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo ?
App yake ipo play store na App storeStar link tunaipata vipi,! ? Msaada please
Mkuu naipataje hapa TZ?Mzee ile Starlink ni konyo..Wewe uko town ila kuna maeneo hapa TZ ni Town au nje ya mji kidogo tu ila Network ni taabu sana kuipata kwa Mitandao yetu hii...Ila Starlink ni Mwisho wa Matatizo inanasa mpaka Vijijini na Vitongoji vyooote Dunia hii...
Unlimited za mitandao yetu unapata sijui 20mbps ikizidi sana 90mbps labda Usiku ndo inafika 100+ ila Starlink mchana tu inagonga 200mbps hapo ndo iko vibaya sana
UNLIMITED zetu mkiunganishwa watu 10+ tu inapata wenge na kuslowdown ILA Starlink inauwezo wa Kuimili watu 200+ na wote mkapata network ya kasi
Itoshe kusema Huwezi kufananisha Starlink na Network ya Voda,Airtel n.k Elon Mushi kafanya mapinduzi makubwa sanaa
Sahihi issue Sio kutangaza tu biashara shika simu safiri ndio utajua hayo makampuni utapeli mtupu Kuna maeneo unafika njiani hakuna Cha mtandao wowote unasoma na kifururushi ukichoweka mfano Cha masaa hawahali kuwa hayo maeneo mtandao wao hausomi na network hawana wanahesabu masaa tu yakifika kakifurushi kameisha wakati hayo maeneo Hata mtandao haupo wanahesabu masaa tu ya kifurushiAsee sababu kubwa starlink inashika kila mahali ila hio mitandao ya simu nikanjanja sana asee mfano mimi natumia ya voda nikienda bagamoyo no network inakua aifanyi kazi kabisa.. tuachane na hilo dar hapa hapa kuna mahali nilipanga hakuna mtandao kabisa yanj mpka utoke nje au utegeshetegeshe router ndo upate mtandao hivo naweza sema internet bora kabisa ni fibre tu ila si haya makampuni ya simu.
nairob nenda ufanye usajiliMkuu naipataje hapa TZ?
Sababu naona hazijawa official bado.
Vifurushi vyake unalipiaje?nairob nenda ufanye usajili
Habari wadau.
Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo ?