Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anauza 100mbps laki 4? Kampuni karibia zote 100mbps ni around laki 2.Yaani ni aheri starlink iwepo walioithinisha starlink sio kwamba hawana akili. Binafsi hata wangesema kwa mwezi laki 5. Tunaweza kuji-adjust kuendana na uchumi huo na kizuri zaidi ni non-contract business ukiwa nayo sawa isipokuwepo sawa.
Kuna vijana katika clubs zao wanaweza wakajiunga na wakawa wanafanya business zao na maisha yanaenda.
Masuala ya kusema ni ghali, jua umezeeka na upo nje ya mfumo wa uchumi wa sasa.
Makampuni yaliyopo 100Mbps ni karibu laki nne kwa mwezi. TTCL ndio ingekuwa mkombozi wetu lakini wamejifungia wanakula mishahara hawawazi mfumo bora wa kiushindani na kutanua biashara.
Binafsi niliomba ninunue mimi cable za fiber ndio waniunge waligoma katakata wanataka ununue kwao afu km 5 milion 20
Kwa bongo labda kwa kutumia VPNStar link tunaipata vipi,! ? Msaada please
Habari wadau.
Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo?
Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo.
Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution, 60,000, Tigo 70,000 etc. Je hizi bei sio rafiki ila Starlink ambayo Gharama za Manunuzi ni zaidi ya Milioni na bei ya mwezi ni 100,000-240,000 basic na zaidi ya laki 3 kwa Unlimited speed Business. Je ni rafiki bei zao?
Wanalalamikia bei kulinganisha na ubora wa huduma au wanalinganisha ubovu wa huduma na bei?Habari wadau.
Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo?
Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo.
Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution, 60,000, Tigo 70,000 etc. Je hizi bei sio rafiki ila Starlink ambayo Gharama za Manunuzi ni zaidi ya Milioni na bei ya mwezi ni 100,000-240,000 basic na zaidi ya laki 3 kwa Unlimited speed Business. Je ni rafiki bei zao?
Mkuu naipataje hapa TZ?
Sababu naona hazijawa official bado.
Ongezea, Starlink package kubwa, inaserve watu hadi 5000. Japo speed ya kudownload ni 20-50MbpsMzee ile Starlink ni konyo..Wewe uko town ila kuna maeneo hapa TZ ni Town au nje ya mji kidogo tu ila Network ni taabu sana kuipata kwa Mitandao yetu hii...Ila Starlink ni Mwisho wa Matatizo inanasa mpaka Vijijini na Vitongoji vyooote Dunia hii...
Unlimited za mitandao yetu unapata sijui 20mbps ikizidi sana 90mbps labda Usiku ndo inafika 100+ ila Starlink mchana tu inagonga 200mbps hapo ndo iko vibaya sana
UNLIMITED zetu mkiunganishwa watu 10+ tu inapata wenge na kuslowdown ILA Starlink inauwezo wa Kuimili watu 200+ na wote mkapata network ya kasi
Itoshe kusema Huwezi kufananisha Starlink na Network ya Voda,Airtel n.k Elon Mushi kafanya mapinduzi makubwa sanaa
Kuna swala la Coverage na speed haujalizingatia. Star link unaweza itumia hata ukiwa jangwani. Hizo umetaja hapo zina limit ya speed, bundles, limit ya location na kadhalika.Habari wadau.
Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo?
Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo.
Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution, 60,000, Tigo 70,000 etc. Je hizi bei sio rafiki ila Starlink ambayo Gharama za Manunuzi ni zaidi ya Milioni na bei ya mwezi ni 100,000-240,000 basic na zaidi ya laki 3 kwa Unlimited speed Business. Je ni rafiki bei zao?
====
Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
Mkonga wa Taifa has nothing to do na kilichotokea, Mkonga wa Taifa ni Fiber zetu hapa hapa Tanzania na waya zilizokatika ni msumbiji kwenda South Africa. Hata kungekua na mikonga 100 hapa nchini yote ingekata internet as long as route za isp zote zinapitia south.Mkonga wa Taifa is a single point of failure.
Haiwezekani mkonga ukate almost watanzania wote tukose mtandao.
Wadau wengine wana bread win kwa kutumia internet then inatokea siku tatu internet iko super slow.
Natambua hii ni mara chache kutokea, ila hili la juzi limetufundisha mengi.
Kwa kuongezea hapa,Africa tuna international route 3Mkonga wa Taifa has nothing to do na kilichotokea, Mkonga wa Taifa ni Fiber zetu hapa hapa Tanzania na waya zilizokatika ni msumbiji kwenda South Africa. Hata kungekua na mikonga 100 hapa nchini yote ingekata internet as long as route za isp zote zinapitia south.
Ingekua mwanza internet imekata dar ipo ungelaumu mkonga
Satelite zipo nyingi tu, kabla ya Fiber na mitandao ya simu watu walitumia Satelite na mpaka sasa zipo, Tatizo ni ukitoa Low Orbit satelite kama Starlink, satelite za mbali ni Gharama na zina ping kubwa.Kwa kuongezea hapa,Africa tuna international route 3
1: Tz<kenya>Djibouti<>Egypt to Europe .
2:TZ <>KE<> India then france
3:Tz <> moz/mauritius <>SA <> west African to EU
Tz ilipokosa mtandao,no1 &3 zilikua simekatika and ndio ISP wengi wa tz wanazotumia so wkt tupo down wakaaza hamisha huduma kupitia India na hio lazima uingee na nchi jirani ya Kenya wakuruhusu kwakua kuna kusaini mikataba upya ndio mana ilichukua muda
Option inayotakiwa ni kua na satellite za mtandao ili ardhini wakikata unapitia anga and mpk sasa hii option hakuna.
Na huu ndo ukweli halisi.Mzee ile Starlink ni konyo..Wewe uko town ila kuna maeneo hapa TZ ni Town au nje ya mji kidogo tu ila Network ni taabu sana kuipata kwa Mitandao yetu hii...Ila Starlink ni Mwisho wa Matatizo inanasa mpaka Vijijini na Vitongoji vyooote Dunia hii...
Unlimited za mitandao yetu unapata sijui 20mbps ikizidi sana 90mbps labda Usiku ndo inafika 100+ ila Starlink mchana tu inagonga 200mbps hapo ndo iko vibaya sana
UNLIMITED zetu mkiunganishwa watu 10+ tu inapata wenge na kuslowdown ILA Starlink inauwezo wa Kuimili watu 200+ na wote mkapata network ya kasi
Itoshe kusema Huwezi kufananisha Starlink na Network ya Voda,Airtel n.k Elon Mushi kafanya mapinduzi makubwa sanaa
TTCL labda mijiniAngalia location Yako kwanza kama ina fiber iwe priority ni fiber, katikati ya jiji na Maeneo kama mbezi Makampuni kama Zuku yapo, Maeneo kama Sinza nasikia Kuna Fiber ya Vodacom na Kuna provider wengine local maeneo tofauti. Kama fiber ipo ukiwapigia wanakuja, kama umehakiki fiber ya Kampuni Fulani ipo ukipost hapa utapewa contact za kupiga.
Ukikosa fiber ni 4G/5G hizi unaenda mTandao husika,
-Airtel wanahitaji 270,000 ambayo laki 2 ni Bei ya router na 70,000 mwezi wa kwanza, Ama kama una Tin na leseni zipo package za biashara ambazo wanakupa Router Bure na unalipia kwa mwezi 110,000.
-Tigo wanataka 650,000 ya router na Kila mwezi unalipa 70,000
-voda wanaanzia 120,000 ila wanahitaji Tin na kitambulisho.
TTCL wao wanaanzia 25,000 tu kwa copper na 55,000 kwa fiber ila ni pasua kichwa.
Ni mkongo wa taifaMkonga wa Taifa has nothing to do na kilichotokea, Mkonga wa Taifa ni Fiber zetu hapa hapa Tanzania na waya zilizokatika ni msumbiji kwenda South Africa. Hata kungekua na mikonga 100 hapa nchini yote ingekata internet as long as route za isp zote zinapitia south.
Ingekua mwanza internet imekata dar ipo ungelaumu mkonga
TTCL wapo miji karibia yote ya zamani, wana coverage kubwa sana, shughuli ni kuipata, ila mikoani hawasumbui sana kama dar.TTCL labda mijini