Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

Habari wadau.

Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo?

Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo.

Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution, 60,000, Tigo 70,000 etc. Je hizi bei sio rafiki ila Starlink ambayo Gharama za Manunuzi ni zaidi ya Milioni na bei ya mwezi ni 100,000-240,000 basic na zaidi ya laki 3 kwa Unlimited speed Business. Je ni rafiki bei zao?

====

Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
Iruhusu watu wajichagulie
 
Mkonga wa Taifa is a single point of failure.
Haiwezekani mkonga ukate almost watanzania wote tukose mtandao.
Wadau wengine wana bread win kwa kutumia internet then inatokea siku tatu internet iko super slow.
Natambua hii ni mara chache kutokea, ila hili la juzi limetufundisha mengi.
hata Starlink inatumia mkonga (backbone ya fibre) kwa upande wa Nigeria, hiyo backbone ingeweza kuzingua pia na yangekuwa ni yaleyale

na worse enough, ina ping, packet loss na latency kubwa kama uko mbali na Nigeria (ambapo ground stations za starlink zilipo)
 
Wrong
Starlink ni satellite and sio physical cable or wireless,solution yao ni km vile dish za dstv tofauti tu ni ukubwa wa dish,so hata mkono ukikatika huathiriki na lolote labda wazime satellite yao
 
Wrong
Starlink ni satellite and sio physical cable or wireless,solution yao ni km vile dish za dstv tofauti tu ni ukubwa wa dish,so hata mkono ukikatika huathiriki na lolote labda wazime satellite yao
Connection yako wewe na Starlink ndio inafanywa na satelite, ila at some point inabidi ishuke chini iungane na Fiber nyengine. Unafikiri Starlink ina wasiliana vipi na server za YouTube ama Facebook?
 
Back
Top Bottom