Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

Starlink ni bei ghali na ina urasimu kuipata. Ni watanzania wachache wanaoweza kumudu gharama za Starlink. Ikumbukwe Starlink hawana mabando ya buku au buku 2. Wao ni kuanzia zaidi ya laki 1 kwa mwezi. Anachofaidi mwenye starlink ni kasi ya internet na kupatikana popote.
 
Ni uelewa wao mdogo pia wako desperate kwa hiyo walivyosikia starlink na satellite internet wakahamishia akili huko ila ukweli ni kwamba starlink siyo muhimu hapa bongo.
Sio muhimu kwa watu wenye ukwasi, ila kwa hohe hahe ambao hawawezi kulipa hiyo 120K ya Supa Kasi ni nafuu, mfano,
Star Link anatoa 200mbps roughly kwa 110K hivi, let's say mmejichanga mko 6, so kila mmoja atalipa kama 19K hivi, na wataweza kupata zaidi ya 30mbps kila mmoja.
At the same time kwa hiyo speed inabidi ulipie Supa Kasi 120K kwa speed pungufu ya hio ambayo ni 20mbps.
 
Mzee ile Starlink ni konyo..Wewe uko town ila kuna maeneo hapa TZ ni Town au nje ya mji kidogo tu ila Network ni taabu sana kuipata kwa Mitandao yetu hii...Ila Starlink ni Mwisho wa Matatizo inanasa mpaka Vijijini na Vitongoji vyooote Dunia hii...

Unlimited za mitandao yetu unapata sijui 20mbps ikizidi sana 90mbps labda Usiku ndo inafika 100+ ila Starlink mchana tu inagonga 200mbps hapo ndo iko vibaya sana

UNLIMITED zetu mkiunganishwa watu 10+ tu inapata wenge na kuslowdown ILA Starlink inauwezo wa Kuimili watu 200+ na wote mkapata network ya kasi

Itoshe kusema Huwezi kufananisha Starlink na Network ya Voda,Airtel n.k Elon Mushi kafanya mapinduzi makubwa sanaa
Kenya hapo si ipo starlink? Kelele zilikua nyingi ila wote washarudi fiber na 5G. Walete tu hapa Tanzania tuone wazee wa kulalamika waweke hio starlink. Internet ni vitu vitatu, Ping, Download na upload speed, vinatakiwa vyote vitatu viwe sawa na sio kimoja tu.

Unapata 200mbps, mkiwa wengi speed inashuka sana kama Kenya ila for the sake of discussion let's assume unaipata, Upload speed haifiki 10mbps na ping kubwa sometime Inazidi 100ms hapo hamtoboi watu wengi.

Bila kusahau Starlink sio unlimited speed muda wote, ukifikisha 1TB wana cap speed.
 
yani kilichopo nyumbani bei si rafiki na mzawa si bora kuchukua starlink .kwa unafahamu speed ya starlink ni kubwa 10gb unadownload dakika 2 tu
Kwamba kina Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution, 60,000, Tigo 70,000 etc bei sio rafiki ila Starlink ambayo Gharama za Manunuzi ni zaidi ya Milioni na bei ya mwezi ni 100,000-240,000 basic na zaidi ya laki 3 kwa Unlimited speed Business ni rafiki bei zao?
 
Sahihi issue Sio kutangaza tu biashara shika simu safiri ndio utajua hayo makampuni utapeli mtupu Kuna maeneo unafika njiani hakuna Cha mtandao wowote unasoma na kifururushi ukichoweka mfano Cha masaa hawahali kuwa hayo maeneo mtandao wao hausomi na network hawana wanahesabu masaa tu yakifika kakifurushi kameisha wakati hayo maeneo Hata mtandao haupo wanahesabu masaa tu ya kifurushi

Wezi sana

Inakuwaje uko eneo hawana mtandao na wao Wana uhakika hawana halafu wanakata pesa za vufurushi ulivyonunua eneo Wana mtandao ambavyo havijaisha

Kww hiyo unafikiri starlink utaweza tembea nayo unavyotaka ? Yan uwe safarini lets say dar to arusha uende na starlink ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Uchukue Receiver uweke juu ya bus au gari utembee nayo au siyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwamba kina Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution, 60,000, Tigo 70,000 etc bei sio rafiki ila Starlink ambayo Gharama za Manunuzi ni zaidi ya Milioni na bei ya mwezi ni 100,000-240,000 basic na zaidi ya laki 3 kwa Unlimited speed Business ni rafiki bei zao?
Soko huria shida Yako Nini wako waweza wapo hawawezi shida Yako Nini? Hatufanani uwezo kwani wengi hata Simu za touch wanamiliki?

Irihusiwe wanaoweza waweza wasioweza basi
Usiweke Watanzania wote kapu moja huwatendei haki
Soda hoteli za kimataifa zinauzwa Kwa elfu nane mitaani mia saba soda ile ile
 
Hakuna sehemu hata moja nimekataa wasije it's just watu wanapotosha.

Leo hii nikisema hizo soda za 8000 ni mkombozi wa Mtanzania na wanaotuuzia soda 500 wanatuuzia Bei ghali nitakua sahihi?
 
Kenya hapo si ipo starlink? Kelele zilikua nyingi ila wote washarudi fiber na 5G. Walete tu hapa Tanzania tuone wazee wa kulalamika waweke hio starlink. Internet ni vitu vitatu, Ping, Download na upload speed, vinatakiwa vyote vitatu viwe sawa na sio kimoja tu.

Unapata 200mbps, mkiwa wengi speed inashuka sana kama Kenya ila for the sake of discussion let's assume unaipata, Upload speed haifiki 10mbps na ping kubwa sometime Inazidi 100ms hapo hamtoboi watu wengi.

Bila kusahau Starlink sio unlimited speed muda wote, ukifikisha 1TB wana cap speed.
Mkuu labda tu kwakua unateta ugali wako ila Starlink inafanya mapinduzi licha ya izo ping,upload na download bado huwezi kuwafananisha hata kidogo na Unlimited za Bongo hata kidogo...Tunachokipata kwasasa Nafikiri ni uchache wa Satellite zao hasa huku Africa(Mawazo yangu) Ila masiku kadhaa yajayo Wakipaisha Satellite za kutosha Nahisi Tutarudi hapa kuwapa Maua yao...Hizi kelele zipo tu hata wanaija sijui ni Nchi gani walilalamika sana hasa kwenye Live Streaming Starlink ni Changamoto...Ila huko Duniani US,UK wenyewe wanaikubali sana
 
Hata huko Duniani wanalalamika, Starlink ni Internet ya watu wa vijijini, Yoyote ukimuona anafikiri Starlink itareplace Fiber ama mitandao ya simu tech kama 5G ujue yupo Mis Informed.

Cheki subreddit ya starlink watu wanavyolalamika packet loss na kuwa kicked out of server kwenye vitu vinavyohitaji ping na reliability ya internet.
 
Mkuu labda tu kwakua unateta ugali wako ila Starlink inafanya mapinduzi licha ya izo ping,upload na download bado huwezi kuwafananisha hata kidogo na Unlimited za Bongo hata kidogo...Tunachokipata kwasasa Nafikiri ni uchache wa Satellite zao hasa huku Africa(Mawazo yangu) Ila masiku kadhaa yajayo Wakipaisha Satellite za kutosha Nahisi Tutarudi hapa kuwapa Maua yao...Hizi kelele zipo tu hata wanaija sijui ni Nchi gani walilalamika sana hasa kwenye Live Streaming Starlink ni Changamoto...Ila huko Duniani US,UK wenyewe wanaikubali sana

Totally wrong , huko unakokuita duniani bado starlink haijatoboa yan bado sana . Tafuta mauzo yao huko wameuza unit chache mno tena kama USA watu hawatumii starlink . Dunia nzima starlink haina hata wateja mil 3 sasa hii unasema inatumika sana ? Kifupi starlink haiuzi
 
Tunahitaji Starlink kwa sababu inapatikana hata nikiwa kijijini ndani ndani huko. Kwa sisi ambao tunafanya kazi zetu online 24 hrs na hatupendi kukaa mjini Starlink ni chaguo sahihi zaidi kwetu.
 
Sio muhimu kwa watu wenye ukwasi, ila kwa hohe hahe ambao hawawezi kulipa hiyo 120K ya Supa Kasi ni nafuu, mfano,
Star Link anatoa 200mbps roughly kwa 110K hivi, let's say mmejichanga mko 6, so kila mmoja atalipa kama 19K hivi, na wataweza kupata zaidi ya 30mbps kila mmoja.
At the same time kwa hiyo speed inabidi ulipie Supa Kasi 120K kwa speed pungufu ya hio ambayo ni 20mbps.
1. Starlink sio Unlimited, 1TB kuimaliza sio issue kwa hio speed hasa kama mpo 6 baada ya hapo speed inashushwa sana

2. Hio 200mbps ni business package ndio ina guarantee ambayo Bei yake ni Laki 3 ama zaidi kutokana na Eneo, ila speed ya kawaida ni as low as 40mbps ama Chini ya hapo, Atleast Kenya.

3. Kuna upload speed na ping ambazo sio nzuri, Kenya ping ni 100ms ama zaidi most of time, mkiwa 6 hio speed inakaribia 2G maana 3G nzuri kama Voda na Halotel Hadi 30ms zinafika.

4. Hapo Bado Mvua na Hali ya Mawingu Tegemea service outage.
 
Back
Top Bottom