Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

Iruhusu watu wajichagulie
 
hata Starlink inatumia mkonga (backbone ya fibre) kwa upande wa Nigeria, hiyo backbone ingeweza kuzingua pia na yangekuwa ni yaleyale

na worse enough, ina ping, packet loss na latency kubwa kama uko mbali na Nigeria (ambapo ground stations za starlink zilipo)
 
Wrong
Starlink ni satellite and sio physical cable or wireless,solution yao ni km vile dish za dstv tofauti tu ni ukubwa wa dish,so hata mkono ukikatika huathiriki na lolote labda wazime satellite yao
 
Wrong
Starlink ni satellite and sio physical cable or wireless,solution yao ni km vile dish za dstv tofauti tu ni ukubwa wa dish,so hata mkono ukikatika huathiriki na lolote labda wazime satellite yao
Connection yako wewe na Starlink ndio inafanywa na satelite, ila at some point inabidi ishuke chini iungane na Fiber nyengine. Unafikiri Starlink ina wasiliana vipi na server za YouTube ama Facebook?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…