Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Jamani ndoa ni UTAPELI tatizo watu hawaelewi wakiambiwa hivyo mpk KIUMANE
 
SHERIA no msumeno,SHERIA inaumiza.hapo. Mchawi NI CHETI Cha ndoa.kama huna Basi Mali ziwe za majina yako.
Kwanza nashangaa kwa nini hashtakiwi na jinai "forgery" .Kufoji cheti cha ndoa na ushaidi namba moja ni hii hukumu ,alihojiwa mchungaji aliyefungisha ndoa kakataa hajawahi fungisha hiyo ndoa,tatu pia RITA nao wanasema hakuna kumbukumbu kwenye daftari lao kama ndoa ilisajiriwa .Kwa ushaidi ambao upo wazi kiasi hichi nashangaa kwa nini mpaka sasa polisi hawajamkamata na kumshtaki na jinai.
 
Sheria ni musumeno una kata,
 
Hamna kitu hapa. Vicky ni failed gold digger, hakuwahi kuolewa na Sirvacus Likwelile. Kama wewe Pfizer ni ndugu wa huyu malaya, mwambie kuwa akizidi kukomalia mali za watoto wa Likwelile tutamroga sisi wapogoro.
[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mahakama imesema ilimtaka awasilishe nyaraka zinazoonesha kuwa Mali zile ni za kwake ili zisijumuishwe kwenye orodha ya Mali za marehemu hakuwasilisha, sasa mahakama ingefanyeje......!

Kama nyaraka zipo akate rufaa atapewa Mali zake kama ni halali lakini jamii forum haina Mamlaka ya kuiamrisha mahakama kutenda tofauti.
 
Mtafute akupe papa unajitahidi kupingana na uamuzi wa mahakama
 
ONYO

Usimtese mjane ye yote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima. Ukiwatesa watu hao katika neno lo lote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao, na hasira yangu itawaka moto, nami nitawaua ninyi kwa upanga; na wake wenu watakuwa wajane, na watoto wenu mayatima.
Kut 22:22‭-‬24
 
Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Hiyo Sheria ya miezi 6 ni ya wapi? Mimi ninafahamu ni miaka miwili. Kifungu cha 160 cha Sheria ya Ndoa ya Tanzania ya mwaka 1971
 
Sasa kama Baba yao kaacha hela kama wanavyo Sema, kwanini hawana ada.

Wakae vizuri na mama yao mdogo awasaidie. Hata wewe ungekuwa Vicky, ungesaidia watoto jeuri viburi huku wanakudhalilisha na kukufukuza? Haya sasa,Vicky

Sasa kama Baba yao kaacha hela kama wanavyo Sema, kwanini hawana ada.

Wakae vizuri na mama yao mdogo awasaidie. Hata wewe ungekuwa Vicky, ungesaidia watoto jeuri viburi huku wanakudhalilisha na kukufukuza? Haya sasa,Vicky Wanamuachaje?
Wakae vzr vipi na aliwafukuza hadi kubadilishal vitasa vya milango ya nyumba video zipo. Kumbuka mitandao haipotezi kumbukumbu
 
Sawa Vicky tumekusikia. Sasa kwa nini usitishe kulipa ada ya Boris mara tu baada ya Likwelile kufariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…