You just quoted her mkuu!Mwenye namba ya Vicky anipe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You just quoted her mkuu!Mwenye namba ya Vicky anipe..
Jamani ndoa ni UTAPELI tatizo watu hawaelewi wakiambiwa hivyo mpk KIUMANEHaya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Kwanza nashangaa kwa nini hashtakiwi na jinai "forgery" .Kufoji cheti cha ndoa na ushaidi namba moja ni hii hukumu ,alihojiwa mchungaji aliyefungisha ndoa kakataa hajawahi fungisha hiyo ndoa,tatu pia RITA nao wanasema hakuna kumbukumbu kwenye daftari lao kama ndoa ilisajiriwa .Kwa ushaidi ambao upo wazi kiasi hichi nashangaa kwa nini mpaka sasa polisi hawajamkamata na kumshtaki na jinai.SHERIA no msumeno,SHERIA inaumiza.hapo. Mchawi NI CHETI Cha ndoa.kama huna Basi Mali ziwe za majina yako.
mmmh
Sheria ni musumeno una kata,Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.
19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.
Watu wanajua alipotumbuliwa basi alikuwa na hela bila kujua Akaunti zote za Likwelile zilishikiliwa akarudi Nyumbani Mikono Mitupu.
Watu wanahisi sababu alikuwa Wizara ya Fedha basi alikuwa na Majumba ya kufa mtu. Hamna kitu.
Na Amshukuru Vicky kwa kumtia moyo na Kumpetipeti, angemuachs hata hiyo 29 Februari 2021 asingefika.
Likwelile hakuwa na biashara yoyote wala Kampuni yoyote aliyomiliki hadi alipomuoa Vicky.
Hata hiyo nyumba ya Mbweni sio kwamba Likwelile alijenga, bali ilinunuliwa wakati anaishi na Mtoto Vicky, Wakahamia
Hata huyo wanayedai ni Mie wa ndoa, hajui ilinunuliwa bei gani. Vicky alikuta Likwelile ni single father. Mama wa hawa watoto wanaomsumbua Vicky aliachana na Likwelile miaka mingi na akaoa mke mwingine tena ambae alikuwa anafanya nae kazi chuo kabla ya Vicky.
Huyo Mke wa pili wa Likwelile alifariki 2014 ndo akaolewa Vicky.
Sasa watoto wanataka kila kitu cha Vicky. Walitakiwa kumpenda sababu alipotumbuliwa na Magufuli, Vicky ndio aliendesha familia.
Vicky Kamata hana njaa. Tatizo watoto hawataki kumtambua as if alimkuta baba yao akiwa na mali.
Vicky yeye anapigania Nyumba aliyonunua na mumewe. Wao wanataka aondolewe akatange na njia. Hii haikubaliki.
Kama baba yao alikuwa na Mali, basi wazichukue na hakuna aliyewaingilia. Kwanini wanang'ang'ania malalio ya Vicky kama kweli pesa ipo?
Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Watetezi wa wajane wapo wapi? Wanacha mtu anatukanwa na kudhalilishwa mtandaoni as if sio binadamu. Sipati picha Vicky asingekuwa Stable kiuchumi. Si ndo wangeanza kusema ni danga?
Kumbuka Vicky amekuwa mbunge kwq kipindi cha kutosha, ana kipaji cha uimbaji, ana kampuni zake na biashara zake ambazo anaendesha.
Vicky amekuwa anahimiza wanawake kufanya kazi ili kujikwamua kupitia wimbo wa "Wanawake na Maendeleo tufanye kazi".
View attachment 2755925
MsukumaHivi Vicky Kamata ni mwenyeji wa wapi??
[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hamna kitu hapa. Vicky ni failed gold digger, hakuwahi kuolewa na Sirvacus Likwelile. Kama wewe Pfizer ni ndugu wa huyu malaya, mwambie kuwa akizidi kukomalia mali za watoto wa Likwelile tutamroga sisi wapogoro.
Naona nae ameamua kulipiza kwa watoto wa marehemuVick nakumbuka Ile sinema aliyochezewa na yule chekibob akatangaza ndoa jamaa akatimka na Hela za michango
Mtafute akupe papa unajitahidi kupingana na uamuzi wa mahakamaKatika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.
19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.
Watu wanajua alipotumbuliwa basi alikuwa na hela bila kujua Akaunti zote za Likwelile zilishikiliwa akarudi Nyumbani Mikono Mitupu.
Watu wanahisi sababu alikuwa Wizara ya Fedha basi alikuwa na Majumba ya kufa mtu. Hamna kitu.
Na Amshukuru Vicky kwa kumtia moyo na Kumpetipeti, angemuachs hata hiyo 29 Februari 2021 asingefika.
Likwelile hakuwa na biashara yoyote wala Kampuni yoyote aliyomiliki hadi alipomuoa Vicky.
Hata hiyo nyumba ya Mbweni sio kwamba Likwelile alijenga, bali ilinunuliwa wakati anaishi na Mtoto Vicky, Wakahamia
Hata huyo wanayedai ni Mie wa ndoa, hajui ilinunuliwa bei gani. Vicky alikuta Likwelile ni single father. Mama wa hawa watoto wanaomsumbua Vicky aliachana na Likwelile miaka mingi na akaoa mke mwingine tena ambae alikuwa anafanya nae kazi chuo kabla ya Vicky.
Huyo Mke wa pili wa Likwelile alifariki 2014 ndo akaolewa Vicky.
Sasa watoto wanataka kila kitu cha Vicky. Walitakiwa kumpenda sababu alipotumbuliwa na Magufuli, Vicky ndio aliendesha familia.
Vicky Kamata hana njaa. Tatizo watoto hawataki kumtambua as if alimkuta baba yao akiwa na mali.
Vicky yeye anapigania Nyumba aliyonunua na mumewe. Wao wanataka aondolewe akatange na njia. Hii haikubaliki.
Kama baba yao alikuwa na Mali, basi wazichukue na hakuna aliyewaingilia. Kwanini wanang'ang'ania malalio ya Vicky kama kweli pesa ipo?
Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Watetezi wa wajane wapo wapi? Wanacha mtu anatukanwa na kudhalilishwa mtandaoni as if sio binadamu. Sipati picha Vicky asingekuwa Stable kiuchumi. Si ndo wangeanza kusema ni danga?
Kumbuka Vicky amekuwa mbunge kwq kipindi cha kutosha, ana kipaji cha uimbaji, ana kampuni zake na biashara zake ambazo anaendesha.
Vicky amekuwa anahimiza wanawake kufanya kazi ili kujikwamua kupitia wimbo wa "Wanawake na Maendeleo tufanye kazi".
View attachment 2755925
Hiyo Sheria ya miezi 6 ni ya wapi? Mimi ninafahamu ni miaka miwili. Kifungu cha 160 cha Sheria ya Ndoa ya Tanzania ya mwaka 1971Haya mambo yanachanganya. Mwanamke wanadai ukikaa naye miezi sita pika pakua kashakua mke wako. Ukimuacha anakushitakia anashinda. Huku mtu wamekaa zaidi ya miaka 7, wanadai hawamtambui. Au sababu ya Mali?
Sasa kama Baba yao kaacha hela kama wanavyo Sema, kwanini hawana ada.
Wakae vizuri na mama yao mdogo awasaidie. Hata wewe ungekuwa Vicky, ungesaidia watoto jeuri viburi huku wanakudhalilisha na kukufukuza? Haya sasa,Vicky
Wakae vzr vipi na aliwafukuza hadi kubadilishal vitasa vya milango ya nyumba video zipo. Kumbuka mitandao haipotezi kumbukumbuSasa kama Baba yao kaacha hela kama wanavyo Sema, kwanini hawana ada.
Wakae vizuri na mama yao mdogo awasaidie. Hata wewe ungekuwa Vicky, ungesaidia watoto jeuri viburi huku wanakudhalilisha na kukufukuza? Haya sasa,Vicky Wanamuachaje?
Sawa Vicky tumekusikia. Sasa kwa nini usitishe kulipa ada ya Boris mara tu baada ya Likwelile kufariki.Kuna katoto kanaitwa Boris kalikuwa kanasoma Canada, Muulize nani akikuwa anakulipia ada wakati Likwelile katimuliwa kazi? Atakuambia ni Vicky.
Watoto wa Likwelile walizowea kufanyiwa kila kitu na Baba yao. Vijana wakubwa wanapenda starehe kazi hawataki ndo maana qanamaumbia Vicky maana hawana kazi maana na watapenda kwenda kidimbwi na wasichana cha kuwapa hawana 😄😄 hasira zote zinaeda kwa vicky
Vicky alikuwa analipa ada tangu likwelile kafariki hakajaenda shule. Tena hao ndo Mama yao ilifariki 2014 Vicky ndo akaolewa.
Wanaume wasiri sana. Vicky hakutambua wala hakuwahi kusikia kamaLikwelile alikuwa na ndoa nyingine sababu Likwelile alikuwa na mke Tegeta na Vicky alikuwa anaishi Sinza. Walipooana wakahamia nyumba ya Serikali.
Walipokuwa kwenye nyumba ya serikali ndo wakanunua Mbweni na wakahamia baada ya Likwelile kutumbuliwa.
Sasa watoto walifukuzwa wapi wakati walikuwa wanaishi Tegeta na yule alieachwa alikuwa amepanga Kibaha na hao watoto wake wasumbufu walikuwa wanaishi tabata?
Likwelile alikuwa anaenda kusalimia wanae Tabata kisha anarudi kukaa Mbweni.
Wamuache Vicki ale maisha bana😄😄😄. Waendelee kukaa tabata. Baba yao kabla ya kufa kwanini walikataa kukaa Mbweni?