Wifi acha kuwa mchoyo wa likesAya edit pale sasa kabla sijakunyang'anya likes zangu[emoji85]
una shi ngapi nikuelekezaMsaada jaman amsijajua jinsi ya kupost status
Umefichika sikuhiziKwahiyo kazi yako ni kuangalia nani amelike na nani hajalike?
Some jobless niggas.
mamaafacebook hii nayo ni ID yako pia?Ngoja nisepe
Likes zangu zinatoka kwa mahela my wiiWifi acha kuwa mchoyo wa likes
kwahiyo unawaquote watu upate likes?Hawa ndo nawaona mara kwa mara wakitoa likes
1:Shunie , huyu dada post nyingi ukimqoute lazima ulambe like
2: mshana jr
3:daudi mchambuzi
4: mc 7
5:chlorine gas hasa post za mondi ukimsifia
6:the boss
7:mtu mzito
8: eddy muhando
watu wasiotoa likes
1:miss natafuta aisee huyu jamaa sijawahi kuona akimpa mtu like sijui kitufe cha like hakipo kwenye kifaa chake anachotumia kuingilia JF
2:Valentina , huyu mchaga naye daah mbahili kichizi kutoa like
3:stunter; huyu brazameni naye hatoagi likes kabisa
4:nyani ngabu:huyu ngosha wa USA naye mbahili wa likes kichizi
Hii ndo list kulingana na maoni yangu wewe je ? toa list yako
Mweeeeeh[emoji15]Likes zangu zinatoka kwa mahela my wii
We killaza usidandie gari kwa mbelekwahiyo unawaquote watu upate likes?
ha ha nagawaga kama pipi vile nipende nispende na like ha haha sijui maana ya mke mwenzaHapo kwenye likes umemsahau miss chagga...yupo na mwanangu janeth1 . Wifi yangu Honey Faith sijawahi kuona like yake popote [emoji85][emoji85]
Jamani jamani mbona unanionea?Hapo kwenye likes umemsahau miss chagga...yupo na mwanangu janeth1 . Wifi yangu Honey Faith sijawahi kuona like yake popote [emoji85][emoji85]
Hahaaa we ni nomaa yaani huo ukarimu wa likes ukihamia kwenye pesa nitakupendaje?ha ha nagawaga kama pipi vile nipende nispende na like ha haha sijui maana ya mke mwenza
kilaza ni weewe unatafuta likes kwani hii forum ni yako? fanya kaz wacha kutafuta likes za jf nyamaffffffffffWe killaza usidandie gari kwa mbele
shindwa pepo .. natoa likes tuHahaaa we ni nomaa yaani huo ukarimu wa likes ukihamia kwenye pesa nitakupendaje?
Kweli bwana likes hutoagi na yule mdogo wako anaitwa nani vile? Nimemsahau [emoji125] [emoji125] [emoji125] yule ndo kibokoJamani jamani mbona unanionea?
Shemalekilaza ni weewe unatafuta likes kwani hii forum ni yako? fanya kaz wacha kutafuta likes za jf nyamaffffffffff
vyote unagawa kama pipi au likes tu ??ha ha nagawaga kama pipi vile nipende nispende na like ha haha sijui maana ya mke mwenza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ntafunga na kuomba huo ukarimu wa likes uhamie kwenye pesashindwa pepo .. natoa likes tu
Mdogo wangu Rogie au sio huyo?Kweli bwana likes hutoagi na yule mdogo wako anaitwa nani vile? Nimemsahau [emoji125] [emoji125] [emoji125] yule ndo kiboko