Watu wanaoongoza kutoa likes humu Jf na watu wasio toa likes

Watu wanaoongoza kutoa likes humu Jf na watu wasio toa likes

Mkuu ni kughafirika tu au mbona mi nazitoka sana au unataka nizikancel likes zangu kwako halafu uone utabaki na nini
 
Katika miaka 5 nimetoa like hazipungui 5.
Sio kuwa sipendi bali muda wa kusubiri like iwe processed ndo sina naona nachelewa,ukiniquote ukaona nimenyamaza ujue nimekukubali
 
Katika miaka 5 nimetoa like hazipungui 5.
Sio kuwa sipendi bali muda wa kusubiri like iwe processed ndo sina naona nachelewa,ukiniquote ukaona nimenyamaza ujue nimekukubali
Hahaha,

Umenikumbusha wale mademu unapiga sumu mtu kimya, anakwambia ukiona kimya ujue nimekubali.

Ila mkuu like haziitaji process kama kusajili kampuni ,zitoe tu
 
Kwahiyo kazi yako ni kuangalia nani amelike na nani hajalike?
Some jobless niggas.
 
Back
Top Bottom