Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

1. Chizi Maarifa - nimepita nyuzi kadhaa nimekuta jamaa akitukanwa na kusukwa sukwa sana.naamini kama angekatisha lile eneo lenye wale watu muda ule wangempopoa sana kwa mawe. Sana siyo kidogo. Maana nimesoma hasira za watu na bado kwenye nyuzi nyingine nimeona watu mpaka wakimtishia kumroga. Ana chukiwa sana. Sijui sura na umbo lake vitakuwaje.

2. GENTAMYCIME naye jamaa anachukiwa sana. Nimekuwa mara nyingi nikisoma jinsi ambavyo watu wamekuwa wakitaka kuzungumzia mtu wa hovyo wanamtaja jamaa... Sijajua hasa tatizo ni nini. But naye anachukiwa sana humu ndani kiasi inaleta maswali mengi je watu wakija onana naye watamfanya nini? Sijui sura na umbo lake litakuwaje

3. Huyu demu jina lake limenitoka ila naye nimesoma mara kadhaa wakisema ana msongo wa mawazo kutokana na nyuzi anazoanzisha akiamini anarogwa, hapendeki,malaya,anatengwa, anaonewa wivu,anaonekana kachoka n.k so ikamfanya kila jambo katika hayo alifungulie uzi. Mpaka alipopelekwa hospital (watu wanasema hivyo) na kugundulika ana msongo wa mawazo na kulazwa ndo kumetulia. Huyu atakuwa binti mwembamba sana amekauka mwili

Mi nashauri watu wapendane tu humu ndani. Mnaweza kuja oana humu mkapata watoto nao wakakulia humu humu. Kuna mkongwe mmoja alipata mke humu na kuanzia hapo akahama na JF but alikuwa ana madini sana yule jamaa.
Aisee
 
Chizi Maarifa ana sura la kutisha na makovu kama yote mwilini. Hana kuremba.... Anatema mate huku anafukia kule....
 
Ndugu Yangu Wapi Huko Ulikiwasha?
Aaargh nlikiwasha siku hiyo watu walitafutana kinyama.... Mtaani. Hata humu JF mugaka nlimvuruga sana akavurugika akachuka kinyama. Akawa hoi hawezi kukaa wala kusimama. Chapa nao sana.... Akasema basi yeshe... Ndo nikamwambia awe makini sana. Nisije nikamrudia tena kumfanya kitu kibaya...
 
1. Chizi Maarifa - nimepita nyuzi kadhaa nimekuta jamaa akitukanwa na kusukwa sukwa sana.naamini kama angekatisha lile eneo lenye wale watu muda ule wangempopoa sana kwa mawe. Sana siyo kidogo. Maana nimesoma hasira za watu na bado kwenye nyuzi nyingine nimeona watu mpaka wakimtishia kumroga. Ana chukiwa sana. Sijui sura na umbo lake vitakuwaje.

2. GENTAMYCIME naye jamaa anachukiwa sana. Nimekuwa mara nyingi nikisoma jinsi ambavyo watu wamekuwa wakitaka kuzungumzia mtu wa hovyo wanamtaja jamaa... Sijajua hasa tatizo ni nini. But naye anachukiwa sana humu ndani kiasi inaleta maswali mengi je watu wakija onana naye watamfanya nini? Sijui sura na umbo lake litakuwaje

3. Huyu demu jina lake limenitoka ila naye nimesoma mara kadhaa wakisema ana msongo wa mawazo kutokana na nyuzi anazoanzisha akiamini anarogwa, hapendeki,malaya,anatengwa, anaonewa wivu,anaonekana kachoka n.k so ikamfanya kila jambo katika hayo alifungulie uzi. Mpaka alipopelekwa hospital (watu wanasema hivyo) na kugundulika ana msongo wa mawazo na kulazwa ndo kumetulia. Huyu atakuwa binti mwembamba sana amekauka mwili

Mi nashauri watu wapendane tu humu ndani. Mnaweza kuja oana humu mkapata watoto nao wakakulia humu humu. Kuna mkongwe mmoja alipata mke humu na kuanzia hapo akahama na JF but alikuwa ana madini sana yule jamaa.
Mmmh......
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Mjomba Gwaji anasema hujawakopesha.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie kuchukiwa mbona sio shida zangu?
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Back
Top Bottom