Watu wanaosema tunamrudishia Rais mchakato wa Katiba wanachangamsha Genge

Kiukweli tushukuru sana Mungu, kuna watu waligombea urais, kama wangepata, by now taifa letu lingeisha sambaratika!. ZZK ndie mpinzani pekee ambaye kwa sasa anaweza kuwa rais wa JMT na tukabaki salama, intact.
P
Ccm ukiona wanakupenda basi ujue wewe huna thamani kwenye demokrasia yetu.

Hivi Pascal ulipata Kura ngapi?
 
Hapa hakuna suala la uelewa bali nimehoji wa Zitto.

Zitto kama Zitto hana uwezo wa kuliunganisha taifa, hana uwezo wa kuongoza taifa huyu kwa vigezo vyote ni mwanasiasa nja.
Naunga mkono hoja.

Yaani Zitto asichojua au anafanya makusudi ni kuwa anatarajia huruma ya ccm kukikuza chama chake ACT.
 
Kiukweli tushukuru sana Mungu, kuna watu waligombea urais, kama wangepata, by now taifa letu lingeisha sambaratika!. ZZK ndie mpinzani pekee ambaye kwa sasa anaweza kuwa rais wa JMT na tukabaki salama, intact.
P
Wewe ni mtabiri??? Kikwete aliwahi kusema maneno kama yako akiwa anaaga Kenya lkn kikichofuata wote tunajua.
 
Hapa hakuna suala la uelewa bali nimehoji wa Zitto.

Zitto kama Zitto hana uwezo wa kuliunganisha taifa, hana uwezo wa kuongoza taifa huyu kwa vigezo vyote ni mwanasiasa nja.
Huna akili! Zwazwa la CHADEMA! Mnamchukia Zitto lakini ukweli ni kwamba pamoja na mapungufu yake yote lakini Kwa sasa CHADEMA haina kabisa brain ya kariba ya Zitto Kabwe!
 
Masikini pascal Mayalla, kwa bahati mbaya sana hakuna mlevi anayekiri kuwa yeye ni mlevi. Siku akikiri kwamba ni mlevi, yuko mbioni kuacha ulevi.

Mimi ni moja katika wale wanaoamini ukipanda mchicha unavuna mchicha. Wewe ni moja katika watu wako tayari kushawishika unaweza kuvuna nyanya.

Nilipojiunga na JF niligundua toka mapema wewe ni mtu wa namna gani kwa maneno na matendo. You run with the hare and hunt with the hounds!

Wewe na Zitto mnaendana na hivyo sishangai hata kidogo kwa msimamo ulioutoa hapo juu. Unampenda Zitto na hivyo endelea kunywa naye chai.

Endelea kujiaminisha kwamba uelewa wako ni extraordinary, yawezekana imani hiyo itakuwezesha kuvuna nyanya baada ya kupanda mchicha!
 
Huna akili! Zwazwa la CHADEMA! Mnamchukia Zitto lakini ukweli ni kwamba pamoja na mapungufu yake yote lakini Kwa sasa CHADEMA haina kabisa brain ya kariba ya Zitto Kabwe!
Mkuu Fumadilu Kalimanzila, hiki unachowaambia ni ukweli mchungu. Chadema hawezi kukubali walifanya makosa sana kupoteza zile think tanks zake mbili, Zitto na Kitila.

Kuna baadhi ya maeneo, mafanikio yanapatikana kwa a good team work, ili mfungaji bora afunge mabao, anahitaji watu wa kumpelekea mipira.

Chadema bado ina few good brains akiwemo JJMyika, Heche, Mdee, Bulaya etc, ila haina wachezaji wa links nao is , hivyo Chadema kuonekana kama wote waliobaki, ni empty shells, wakati they are not!.
P
 
Yaani hii tabia ya kususasusa itakuja kuwagharimu, mwanaume lazima usimame kidete kutetea kile unachoona kinafaa siyo kukimbia na kuanza kuchungulia

Kususia jambo ni njia halali ya kupinga jambo. Unapokubali kushiriki jambo la kuburuzwa kisha jambo hili likapita ukiwepo, hiyo inaonyesha ulikubali. Nenda kajifunze kususia maana yake ni nini.
 
Huyo Kitila aliondoka huko ACT, je Zito atafungaje wakati wa kumletea mipira kaondoka? Mahaba niue nayo ni tatizo la aina yake.
 
Huyo Kitila aliondoka huko ACT, je Zito atafungaje wakati wa kumletea mipira kaondoka? Mahaba niue nayo ni tatizo la aina yake.
Kwe team work kuna baadhi ni wazuri eneo fulani tuu, mfano strikers, defence, goal scores, goal keeper na sharp shooters, ila kunabaadhi ni all rounders ukimuweka popote ana fit, Zitto ni all rounder, anacheza nyuma, kati na mbele na kupiga bao.
P
 
Masikini pascal Mayalla, kwa bahati mbaya sana hakuna mlevi anayekiri kuwa yeye ni mlevi. Siku akikiri kwamba ni mlevi, yuko mbioni kuacha ulevi.
Naunga mkono hoja.
Mimi ni moja katika wale wanaoamini ukipanda mchicha unavuna mchicha. Wewe ni moja katika watu wako tayari kushawishika unaweza kuvuna nyanya.
Zamani ndio ilikuwa ukipanda mchicha unavuna mchicha, lakini sasa with maendeleo ya sayansi na teknolojia ya modern germination unapanda mchicha unavuna nyanya.
Duh...!.
Endelea kujiaminisha kwamba uelewa wako ni extraordinary, yawezekana imani hiyo itakuwezesha kuvuna nyanya baada ya kupanda mchicha!
Kiukweli mimi sio extra ordinary but just above the avarage. Zitto nimemfuatilia siku nyingi na hadi kujua ni kwanini manazi wa chama fulani, wanaweweseka sana kila wakisikia jina la Zitto!. Urais wa ZZK 2015 Kupitia Chadema: Kwa nini Wanatetemeka!, Kuweweseka! na Kutishika?!.
P
 
Paskali usipooze mpira tell CHADEMA the bitter truth that they are not only empty shell but also disgrace to this Nation!

They no longer command any respect due to their childish politics!

Politics is the game of give and take lakini CHADEMA wana practice primitive politics za kuzira na kukumbia majadiliano!
 
Mimi nina swali moja tu;

Ile rasimu ya Warioba iliyopitishwa na BUNGE RASMI LA KATIBA rais wetu akiwa mjumbe imeoshia wapi? Kwa nini tunakwenfa mbele halafu tunarudi nyuma? Huyu Zitto amejipambanua kuwa sio mzalendo bali ni mchimia tumbo tu.
 
"Wape demokrasia Sisi Tuendelee Kula", recycle the same candidates each election cycle to create an illusion of democracy, keep the elite elite, the governed governable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…