Watu wanaosema tunamrudishia Rais mchakato wa Katiba wanachangamsha Genge

Watu wanaosema tunamrudishia Rais mchakato wa Katiba wanachangamsha Genge

Nani mpenda haki? Hakuna uwezekano wa yeye kutenda haki akiwa ndani ya CCM. Maana kitendo cha yeye kutenda haki ni kuleta tatizo kwa chama chake. Na sitegemei kama wanaccm wenzake hasa wa huku bara watamkubalia.
Its very unfortunately chama sio wanachama ni viongozi, kama ilivyo kwa rais wa nchi ndio kila kitu, ndivyo ilivyo kwa chama, Mwenyekiti ndio kila kitu!, hakuna cha wanachama wala wanachama wa huku bara, Mwenyekiti ndio kila kitu!, hakuna wa kumkatalia!.
P
 
Wapi boss, Kikwete walimgomea kuhusu Membe kuwa mgombea wa CCM 2015, na bado hakufanya kitu. Linapokuja suala la maslahi ya CCM mwenyekiti hupoteza nguvu, hasa huyu Mzanzibari sioni akifanya kitu kutoka kwenye maamuzi ya CCM bara ambao ndio wenye nguvu.
 
Kiukweli sio wengi wanamjua vizuri Jakaya, its very unfortunately Membe is one of them!. The original plan ya "Boys II Men" ni atangulie mmoja just for one term kisha amalizie mwingine. Mzee wa Speed and Standards aliahidiwa u PM kumbe JK, keshageuza kibao, akampooza SS kwa kumtupia pande la kuwa Spika!. Siku ya siku akashangaa jina la EL ndio PM!. That is Jakaya!. Hivyo SS akawa na donge na EL!.
Kumbe jamaa kanogewa na akaamua anataka kumaliza full term yote, hivyo akapanga na SS jinsi ya kumfix EL, ndipo wakamtumia Mwaki, na kweli wakamfix!. Wengi wanadhani Tume ya Mwaki kuhusu Richmond, ni kazi ya SS!, its not ni JK!. Siku EL anajiuzulu u PM, alisema wazi Bungeni kuwa "issue ni u- PM, I grant your wish" , EL was not right, alidhani issue ni Uwaziri Mkuu!, it was not!. Issue ilikuwa ni ule mpango wa kupishana na kuachiana.

Baada ya kumfix EL, wakajua he is a threat na amejipanga kugombea 2015, he is still very popular na ana very strong support, hivyo ili kumjinjia baharini, shawishi as many people as possible kugombea urais 2015 kupitia CCM ili hata wakimchinja isiwe taabu.

Hatua ya kwanza ni kwa deep state to mitigate EL powers kwa kumfanyia 'kitu', wakafanya ila Mungu akawagomea kama alivyogomea zile pyu pyu za Dodoma.

Hatua ya pili ya mitigation ni kuangalia if EL atakatwa na kuamua ku cross upande wa pili, CCM itamsimamisha nani atakayeweza kuzuia kimbunga cha Lowassa, ndipo the inner core wa CCM wakaamua mgombea wao wa 2015 ni lazima awe mtu fulani kutoka kanda fulani, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

EL aliendelea na mipango yake ya kugombea kupitia CCM, huku masikini wa watu hajui atakatwa na jina lake halitafika hata CC Elections 2015 - Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! hivyo BM aliahidiwa ni yeye kumbe alidanganywa tuu!.

Tena mtu aliyedhamiriwa kuwa VP ni mwanamke Mzanzibari na sio Samia!. Kosa la mwanamke huyo ni kumkubali EL, ndipo JK akamuibua Samia!.

Naendelea kusisitiza kwenye utawala wa nchi, rais wa nchi ndio kila kitu!, na kwenye chama, Mwenyekiti wa chama ndio kila kitu!.
Sasa kwa muundo wetu, Mwenyekiti wa chama ndio rais wa nchi, then huyu ni kila kitu kitu kila kitu!.
P
 
Mjumbe wa Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala Mhe. Zitto Kabwe yuko mubashara kipindi cha Kipima Joto ITV.

SWALI: Ripoti ya Kikosi Kazi kuhusu Demokrasia ya Vyama Vingi. Je, imejibu matarajio ya wananchi?

Karibu!

=======

Zitto Kabwe

Kwa mazingira ya Tanzania, mchakato wowote hauwezi kumkwepa Rais, wanaoongea wanachangamsha genge tu.

Tulichopendekeza kikosi kazi, Rais wa Tanzania kwa kushirikiana na Rais wa Zanzibar kuunda jopo la wataalam sababu mchakato wa Katiba ni wa kisheria.

Watu wanaosema tunamrudishia Rais mchakato wanachangamsha tu genge.

Deodatus Balile
Kuwepo kuaminiana, inavyoonekana vyama vya upinzani vimejeruhiwa, ndo maana hata Rais alisema hiyo siyo amri, sisi tumeonesha njia, ukisema Rais unamkwepa ipo siku tu utamhitaji.

Mimi ukinuiliza, mapendekezo haya ya kikosi kazi yanatoa mwanga. Mjadala wa kitaifa utarahisisha jambo hili, hata wabunge watakuwa sehemu ya mjadala wa kitaifa, Bungeni ni kupitia tu hivyo hawawezi kwenda kinyume cha mapendekezo ya mjadala wa kifaifa.

Nitoe wito, muda huo ukifika siyo muda wa kususa. Waje watoe maoni

Zitto Kabwe
Mchakato wa katiba unaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya katiba, naona tunatiana tu hofu isiyo na msingi.

Wito wangu, hatua muhimu kuliko zote ni muswada wa mabadiliko ya katiba. Hatuwezi kujenga hoja barabarani, zinajengwa mezani. Taifa linajengwa kwa majadiliano, halijengwi kwa kukimbiana.

Deodatus Balile
Ikiwa kila mtu anakuja na kauli za iwe mvua iwe jua lazima apate anachotaka hatutafika. Tunataka mazungumzo, na yeyote anayedhani ana nia njema na nchi yetu aje na mapendekezo yanayopelea kwenye kikosi kazi, inaweza kuchukua muda.

Zitto Kabwe
Katiba yetu na sheria zetu hazikatazi mikutano ya hadhara, kikozi kazi kimesema katiba inaruhusu, ni haki ya chama cha siasa ndiyo maana tumesema iendelee, iruhusiwe kwa mujibu wa kisheria.

Mwanzoni kulikuwa na katazo, kwa waliokuwa wanalitekeleza walikuwa wanavunja sheria na sisi pia tuliokuwa tunatii agizo hili tulikuwa tunavunja sheria.

Tuliona kuna sheria zinaweza kutumika vibaya, mwaka 2019 yalifanyika mabadiliko, sehemu inayotoa haki ya vyama vya siasa kufanya mikutano kikachomekwa kipengele cha polisi kuingilia mikutano. Kikosi kazi kinataka hicho kipengele kiondolewe.

Tuligundua pia kuna kanuni za vyama vya siasa za mwaka 2019, kuna masharti ya hovyo sana. Kikosi kazi kikasema sheria hizi zifanyiwe marekebisho.

Rais anaweza kuamka na kuchagua makamishna wa tume ya uchaguzi, kikosi kazi kimesema hapana.

Matokeo ya Rais yahojiwe kwenye mahakama ya juu pindi itakapoanzishwa.

Uchaguzi uliopita baadhi ya wagombea walikatwa kwa sababu za kipuuzipuuzi tu, mapendekezo ya kikosi kazi ni kuwa watu wakienguliwa pasipo kufuata taratibu wahusika wawajibishwe kisheria.

Mbona wamekwepa kupendekeza mgombea binafsi aruhusiwe au Zitto na huyo Balile wanajifanya hawajui kuwa ni haki ya msingi? Yaani hata kupendekeza tu wamekwepa? Pili wao hawakuona umuhimu wa Tume ya uchaguzi kuwa na wafanyakazi wake iliyowaajiri badala ya kutumia watu.ishi wa serikali? Sasa kama hii tume yaa imeshindwa hata kupendekeza mambo basic kama nini umuhimu wake?
 
Kiukweli sio wengi wanamjua vizuri Jakaya, its very unfortunately Membe is one of them!. The original plan ya "Boys II Men" ni atangulie mmoja just for one term kisha amalizie mwingine. Mzee wa Speed and Standards aliahidiwa u PM kumbe JK, keshageuza kibao, akampooza SS kwa kumtupia pande la kuwa Spika!. Siku ya siku akashangaa jina la EL ndio PM!. That is Jakaya!. Hivyo SS akawa na donge na EL!.
Kumbe jamaa kanogewa na akaamua anataka kumaliza full term yote, hivyo akapanga na SS jinsi ya kumfix EL, ndipo wakamtumia Mwaki, na kweli wakamfix!. Wengi wanadhani Tume ya Mwaki kuhusu Richmond, ni kazi ya SS!, its not ni JK!. Siku EL anajiuzulu u PM, alisema wazi Bungeni kuwa "issue ni u- PM, I grant your wish" , EL was not right, alidhani issue ni Uwaziri Mkuu!, it was not!. Issue ilikuwa ni ule mpango wa kupishana na kuachiana.

Baada ya kumfix EL, wakajua he is a threat na amejipanga kugombea 2015, he is still very popular na ana very strong support, hivyo ili kumjinjia baharini, shawishi as many people as possible kugombea urais 2015 kupitia CCM ili hata wakimchinja isiwe taabu.

Hatua ya kwanza ni kwa deep state to mitigate EL powers kwa kumfanyia 'kitu', wakafanya ila Mungu akawagomea kama alivyogomea zile pyu pyu za Dodoma.

Hatua ya pili ya mitigation ni kuangalia if EL atakatwa na kuamua ku cross upande wa pili, CCM itamsimamisha nani atakayeweza kuzuia kimbunga cha Lowassa, ndipo the inner core wa CCM wakaamua mgombea wao wa 2015 ni lazima awe mtu fulani kutoka kanda fulani, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

EL aliendelea na mipango yake ya kugombea kupitia CCM, huku masikini wa watu hajui atakatwa na jina lake halitafika hata CC Elections 2015 - Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! hivyo BM aliahidiwa ni yeye kumbe alidanganywa tuu!.

Tena mtu aliyedhamiriwa kuwa VP ni mwanamke Mzanzibari na sio Samia!. Kosa la mwanamke huyo ni kumkubali EL, ndipo JK akamuibua Samia!.

Naendelea kusisitiza kwenye utawala wa nchi, rais wa nchi ndio kila kitu!, na kwenye chama, Mwenyekiti wa chama ndio kila kitu!.
Sasa kwa muundo wetu, Mwenyekiti wa chama ndio rais wa nchi, then huyu ni kila kitu kitu kila kitu!.
P

Story za vijiweni hizi boss. Na huenda kuna watu ukiwapa hizi hekaya wanaona unajua mambo ya ndani kumbe utapeli mtupu. Mimi sio wa story hizi boss.
 
Story za vijiweni hizi boss. Na huenda kuna watu ukiwapa hizi hekaya wanaona unajua mambo ya ndani kumbe utapeli mtupu. Mimi sio wa story hizi boss.
Kama unaamini JK alimtaka Membe CCM wakamkatalia, andelea kuamini hivyo. Hivyo unaamini na JPM alibeep tuu, simu ikapokelewa!, endelea kuamini hivyo!.
Na bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
unaliita ni story za vijiweni!, endelea kuamini hivyo, naomba nikupe na ya kijiweni nyingine ya 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Tutakumbushana 2015!.

Hiyo prediction ya kuwa Magufuli kugombea urais ilifanywa na kila mtu, na sio yeye tu, watu wengi walikuwa wanafanyiwa prediction kuwa watagombea. Aliyesema kwa uhakika kuwa nchi itatawaliwa kidictator ni @magambamatatu. Kama ww ungekuwa na uhakika kuwa ni Magufuli usingeweka neno " COULD BE" Isitoshe muda wote kabla ya uchaguzi wa 2015 ulikuwa upande wa Lowassa, ama unadhani maandiko yako yamefutika hapa jukwaani?

Ww nishakustukia, una tabia ya kuongea mambo mengi, kisha ikitokea moja kati ya hayo likawa kweli unasema ulisema. Umekuwa kama ile taasisi ya utabiri wa hali ya hewa, wanasema kutakuwa na jua kali, maana litatokea wanasema walisema! Ama kusema kutakuwa na mvua nyingi wakati wa masika, na wakati mwingine mvua itazidi hivyo wananchi wachukue tahadhari, na kwakuwa lazima baadhi ya hali zitokee, basi zikitokea wanajifanya walisema.

Ni hivi, uchaguzi wa 2015 ulikuwa unajua ni Lowassa, na pia uliwahadaa CDM kuwa wamepata mtu sahihi, na nilikwambia kabisa kwenye baadhi ya post kuwa Lowassa ni tapeli wa kisiasa. Kama ungejua sio Lowassa ungeweka uzi hapa kuonyesha concern yako. Hizi story zako kawadanganye mafala wasiojua lolote.
 
..angalau wangependekeza kwamba mtu anapokuwa Raisi, Makamu, Waziri Mkuu,au Spika, asiruhusiwe kuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa.
 
Back
Top Bottom