Watu wanapitia manyanyaso kwenye ajira

Watu wanapitia manyanyaso kwenye ajira

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Katika maisha yangu kumuita mtu Boss siwezi , Vyeti vyangu vipo vinaliwa na panya 😃 .

kuajiriwa sio kubaya na sio kila mtu ana misuli ya kujiajiri lakini nafahamu waajiriwa wanapitia manyanyaso mengi maofisini na sikuhizi kupata promotion hata uwe na sifa haupati watu wanapeana kwa connection ina discourage sana. Kama unauwezo wa kujiajiri i recommend you to do that
 
1.Ukifungua duka la bilioni moja kariakoo utakua,unauz,kuagiza na kupiga mahesabu mwenyewe
2.Hata rais wa TZ ni mwajiriwa yupo kwenye payroll,pamoja na mawaziri wake,lakini machinga kibao wameajiri
Ni tofauti sana biashara ikiwa chini yako, haloo watu wengi walioajiriwa wanapitia changamoto kutoka kwa waajiri wao. Usione watu wamenyonga tai wana mengi moyoni
 
Katika maisha yangu kumuita mtu Boss siwezi , Vyeti vyangu vipo vinaliwa na panya 😃 .

kuajiriwa sio kubaya na sio kila mtu ana misuli ya kujiajiri lakini nafahamu waajiriwa wanapitia manyanyaso mengi maofisini na sikuhizi kupata promotion hata uwe na sifa haupati watu wanapeana kwa connection ina discourage sana. Kama unauwezo wa kujiajiri i recommend you to do that
Kuajiriwa unaishi chini ya matakwa ya mtu lakini hamna namna unaweza ukaajiriwa ili ujitafute ujiajiri baadaye
 
Unaweza kwenda ofisini unaona kimya , kumbe watu wamechukua wameenda safari kimya kimya
Katika maisha yangu niliajiriwa na serikali miezi 9, nikaingia private sector nikaajiliwa miaka miwili, ila ni ligundua kitu kimoja adui wako mkuu ni workmate wako, tunapiga stori vizuri ila yote mkuu boss alikua anapelekewa, loh !!!! watu kama mimi ambao ni open minded ni lipata shida sanaa, visa nilio pata kwenye hizo ajira sitakuja kuzisao tena.......
 
Katika maisha yangu kumuita mtu Boss siwezi , Vyeti vyangu vipo vinaliwa na panya 😃 .

kuajiriwa sio kubaya na sio kila mtu ana misuli ya kujiajiri lakini nafahamu waajiriwa wanapitia manyanyaso mengi maofisini na sikuhizi kupata promotion hata uwe na sifa haupati watu wanapeana kwa connection ina discourage sana. Kama unauwezo wa kujiajiri i recommend you to do that
Tupe michongo basi mili nina million mbili nijiajiri vipi
 
Katika maisha yangu kumuita mtu Boss siwezi , Vyeti vyangu vipo vinaliwa na panya 😃 .

kuajiriwa sio kubaya na sio kila mtu ana misuli ya kujiajiri lakini nafahamu waajiriwa wanapitia manyanyaso mengi maofisini na sikuhizi kupata promotion hata uwe na sifa haupati watu wanapeana kwa connection ina discourage sana. Kama unauwezo wa kujiajiri i recommend you to do that
Kote pagumu. Biashara ngumu, ajira ngumu, just choose your hard
 
Katika maisha yangu niliajiriwa na serikali miezi 9, nikaingia private sector nikaajiliwa miaka miwili, ila ni ligundua kitu kimoja adui wako mkuu ni workmate wako, tunapiga stori vizuri ila yote mkuu boss alikua anapelekewa, loh !!!! watu kama mimi ambao ni open minded ni lipata shida sanaa, visa nilio pata kwenye hizo ajira sitakuja kuzisao tena.......
Mie nashindwa kuelewa kwani workmates wakipeleka vitu kwa boss na wewe unafanya kazi kwa weledi shida iko wapi au ulikuwa wampiga majungu boss
 
Acha tu ndugu yangu inafika hatua anakuja mgeni ofisni basi unakaushiwa kama hayakuhusu ni hatari ...Mimi nilitoka ofisi moja kwenda taasisi nyingine kama uhamisho mpaka leo hamna rangi nimeavha kuona .

Mwaka mzima hakuna hata training wala safari ya kazi , ila wenzio kila siku wanaenda safari .
 
Mie nashindwa kuelewa kwani workmates wakipeleka vitu kwa boss na wewe unafanya kazi kwa weledi shida iko wapi au ulikuwa wampiga majungu boss
Katika casual talks amuezi kumsema vizuri boss wenu sometime ile critique ina mfanya boss kua unsecured, kuna siku naenda kazini nakuta ofisi imefungwa hamna mtu, kumbe walienda field wote ila mimi sina taarifa na boss alifanya makusudi kuniumiza, nili kaa wiki mbili bila ratiba au kazi mwezi huo mshahara nili pokea nusu ila si ku-mind nili sema poa tu...... mimi siwezi kuishi kinafiki na watu kamwee siwezi kuajiriwa tena labda iwe political post kama mkuu wa mkoa au wilaya, au ni ajiliwe na UN, ila kwa hao waswahili wetu hapana, bora nifanye umachinga wangu,.... usipo kua na Imani ya Dini unajikuta umeanza ushirkina ili upendwe kazini loh.
 
Mjomba fanya tafiti vizuri huko ndio kugumu nafuu private sector boss anakuwa anaangalia bidii za wafanyakazi, serikalini bila connection hutoboi
Nifanye tafiti gani huku nipo huku for 10 yrs naelewa,au wewe unazungumzia promotion za kupata vyeo vya uongozi?
 
Back
Top Bottom