Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

Gentleman,
fundisha watu kumuamini Mungu pekee achana na hizo porojo zingine plz πŸ’
 
Kumuamini mwanamke masikini ni kosa kubwa kweli ila kama anafanya juhudi kupambna na maisha sioni kosa mkuu mtiti ni kiumbe kinacho itwa slay queen

Mtu yeyote akifanya jitihada kupata mahitaji yake hawezi kuwa maskini na tegemezi

Mwanamke anayefanya jitihada kupata mahitaji yake hawezi kuw maskini huyo. Na hawezi kuwa tegemezi na fikra za kipumbavu.

Umaskini unaanzia kichwani.

Mwanamke yeyote ambaye anamawazo ya kiutegemezi huyo usimuamini hata chembe. Wanalaana.
 
Hapo kwenye siasa nikimkumbuka Mbowe na Joshua Nassari nachoka sana.
 
Fact
 
Neno KUAMINI lenyewe tu hupaswi kuliamini!
Hata hivyo, kila jambo tufanyalo twalifanya kwa tumaini.
i.e. Tuishi kwa HOPE na sio TRUST!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…