Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

Yes,
maana imeandikwa kwenye Mathayo 4:4, kwamba

"mtu hata ishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu."

Je,
ndugu mdau,
ulikua hujui hata hilo?🐒
Ndio hebu nipakulie kidogo hayo mema na mimi nikanunue hata ki shopping basket 😎
 
Hiyo namba 7 mwenyekiti wenu anawasweka na kuwapoteza wapinzani wake wa kisiasa. Fix tu; hiz ahadi Nyerere ndio amefuata
 
Mtibeli swaga zako nazikubali sana hiyo namba mbili umepiga kwenye mshono .
Mwanamke masikini ni tatizo ukimwamini umekwenda na maji kama jeshi la farao.
Mtibeli kumbuka muda wa kifungua sabato umewadia.
 
Kuna msema wa "a man of his words", lakini hauwezi kusikia "a woman of her words". Unajua ni kwanini?
ni kweli kuna huo msemo. nimeusikia na ninautumia sana. Na pia najua kwa nini ni " a man of his word" na sio "a woman of her word"
 
Huu uzi bila CCM. Ni batili kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…