Watu warefu vs watu wafupi

Urefu na ufupi ni kazi ya Mungu

Mimba na kitambi ni ujinga wako mwenyewe[emoji3][emoji3]
 
Naona unatumia sifa yako ya ubishi ipasavyo[emoji23] [emoji23]

Nyie vitunchi mtulie nyie mtaishia kunenepa ila kurefuka msahau
 
Hivi otile ni shoga kweli?
 
Teh teh teh basi tufupi tunalinga twenyewe tunapokuwa na mtetezi makini [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaa sasa sijui huyo mtetezi wao kapewa uongozi kwasabu amewazidi kidogo wenzake?
 
Mlefu ndio nini mkuu?
Namshukulu Mungu sana kila nikikatiza naitwa hyo mlefu , huyo kaka mlefu , kuna kaka mlefu, we mlefu njoo uweke taa, we mlefu tungua hyo , walefu nyuma yan had raha,
 
Wamekukosea nini mbona wawaongelea kwa chuki ivyo?
Hapana ni namna ambavyo umenitafsiri vibsya tu siko na maana hiyo ya kujenga chuki na wafupi ila nitabia ambazo zipo
 
Naona unatumia sifa yako ya ubishi ipasavyo[emoji23] [emoji23]

Nyie vitunchi mtulie nyie mtaishia kunenepa ila kurefuka msahau
Nani anenepe wewe watu tuna six packs we unaleta stori za vitambi!!!?
 
Sasa hizo six packs zinaenea kwa mtu mrefu? Umewahi kuona six packs za Arnold? Moja ipo kiwalani nyingine Kariakoo
Hahaa we kumbe ndo yule short wa pale bombom uko sawa na taili la guta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…