Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua Alphonce Nyinzi M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza

Mkuu wa mkoa wa mwanza john mongella ameahidi kuwa waliofanya mauaji ya mwenyekiti Alphonse na Yale ya msikiti wa mkolani watapatikana wakiwa hai au wamekufa.
Amesema vyombo vya usalama havilali, ili kuhakiisha watu hao wabapatikana wakiwa hai au wamekufa.
Amesema vyombo husika vitang'oa mzizi wa matukio hayo kama njia ya kuhakikidha kuwa mkoa wa Mza unakuwa salama.
Diwani wa buhongwa kaomba polisi wa kata hiyo wapatiwe gari na pia mtaa huu kujengwe kituo cha polisi.
 
kuna ndugu yupo bulale nineongea naye kasema ni zaidi ya mara 4 ndugu, by way ni mpaka mtu auwawe kwa SMG ndo kila kiongozi ajitojeze na kutoa tamko? Hili tatizo naona tumelea wenyewe, vibaka wanavamia nyumba zaidi ya 5 kwenye mtaa mmoja kwa siku moja na wanaondoka bila hata kuathiriwa? Sasa SMG imeuwa mafuriko ya magari ya kifahari yanakuja kutoa pole? Kwanini gari moja wasiachiwe polisi wa kituo cha buhongwa?
 
Asante Dr. Akili, inaonesha wewe utakuwa mtumishi mwenye ufahamu. Sasa tunaomba uwafikishie kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa kuwa, vibaka wa buhongwa ni hatari kuliko SMG iliouwa mtu jana, yaani watu siku hizi hawapati usingizi. Vibaka wanavinjari usiku na kuvamia watu. Wakati wanasaka hizo silaha haramu, watusaidie kuwapunguza vibaka.
 
ntamaholo;
Who told yu that am not serious? Nakuuliza, ni wa chama gani?
Mangatara, serikali haitoi huduma kwa kuzingatia udini, itikadi za kisiasa, ukabila na ubaguzi a aina yoyote
 
Mangatara, serikali haitoi huduma kwa kuzingatia udini, itikadi za kisiasa, ukabila na ubaguzi a aina yoyote

ntamaholo;
Hakuna popote nimesema atii kuwa serekali inatoa huduma kiubaguzi ila twajua wazi kuwa speed hufuatana na chama cha aliyeguswa. Ukiona nguo za kijani kila mtu atawajibika kwa speed ya 4gb. Nguo nyingine ukibahatika kupata kujiwa na baiskeli shukuru
 
Mkuu wa mkoa wa mwanza john mongella ameahidi kuwa waliofanya mauaji ya mwenyekiti Alphonse na Yale ya msikiti wa mkolani watapatikana wakiwa hai au wamekufa.
Amesema vyombo vya usalama havilali, ili kuhakiisha watu hao wabapatikana wakiwa hai au wamekufa.
Amesema vyombo husika vitang'oa mzizi wa matukio hayo kama njia ya kuhakikidha kuwa mkoa wa Mza unakuwa salama.
Diwani wa buhongwa kaomba polisi wa kata hiyo wapatiwe gari na pia mtaa huu kujengwe kituo cha polisi.
Utajiuliza Jana ilikuwa shida kupata gari LA kuokoa maisha lakini Leo kuna msururu wa nagari yanakuja kutoa pole huku wakuu sana wakiahidi kutoa gari ya kusafirisha mwili wa marehemu aluyekosa gari LA kuokoa maisha yake!
 
Mkuu umenena vyema. Wakati wa wananchi wakiambiwa askari ni wachache, kamati ya ulinzi na usalama inafanya mchezo mbaya kwa kusibfikizwa na zaidi ya askari watano wakati Kata nzima haina idadi hiyo ya askari.
 
Wacha uongo mkuu
 
H
Natafuta kazi DSM huku tunaishi roho juu

Mkuu hakuna walioko salama, tofauti iliyopo ni kwamba huko kwingine hawa jamaa haaajanza kazi zao.
Kuna taarifa za mapambano ya risasi eneo LA bugarika na vifo watu watatu wilayani misungwi yote uusiku wa kuamkia Leo lakini sijaweza kuthibitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…