Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Ingiza kobazi hizo mtaani ufanye mapinduzi kamanda ,hamna atakaeandamana kwa ajili yako ukijificha nyuma ya keyboardTatizo lako wewe chanzo chako cha habari ni uhuru na mzareendo na tbc na channel kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wengi lakini sio wa kumuingiza mtu ikulu wala kumpa udiwani labda serikali ya mtaa!Hivi kwa akili zako ata ukionyesha hiyo picha hao watu ni wachache?
Wewe chako ni kipi intarahamweTatizo lako wewe chanzo chako cha habari ni uhuru na mzareendo na tbc na channel kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kazi imeanza hairudi nyuma watu wanataka sera damu kila mmoja anachangiwa lakini hasemi!Lazima utajua tu maana ulianza na mma, hadi utayajua kuwa ni maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakua nayo kama walivyoshindwa kuisoma jangwani yote Magufuli keshayafanya!Walielezea ni kwa nini hawakunad sera sku ukiacha ushabk na kufuatilia yote kwa usawa utakuwa mwema
Kafanye kazi uone maendeleo kijiweni hakuleti maendeleoCcm wenye ilani lukuki mmezitumiaje kuyaboresha maisha ya watanzania zaidi ya kuwatia umasikini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana sera!Wamepanick wakaishia kuwafukuza TBC. Na lile lilikua kosa watakalojutia sana
Mwambie aelewe!Sudan hawakupiga kelele mitandaoni walisimama kama vidume na si keyboard warriors
Kumbe unataka kubisha kishabik unauliza kama ujui alafu unasimamia ujinga wako komaaHawakua nayo kama walivyoshindwa kuisoma jangwani yote Magufuli keshayafanya!
Wangeisoma kama wanayo sababu zao hazikuwa za msingi!Kumbe unataka kubisha kishabik unauliza kama ujui alafu unasimamia ujinga wako komaa
Mnapambana kuiharamisha picha moja ya drone kwa picha zilizopigwa maalumu kwa ajili propaganda kuaminisha watu walijaa. Haitasaidia chama, hii ni sawa na kijana anayeazima nguo mpya aonekane anauwezo apatiwe mke. Kama hamuiamini ya wenzenu wekeni picha yenu mliyopiga kwa drone.Kudadadeeeki ndiyo maana mliwatuma ma tbc yenu kwenda kufanya sabotage ya mkutano wa mh Lissu siyo.? View attachment 1551376View attachment 1551377
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuligawa taifa, kuna mtu analigawa taifa kama jiwe?Kosa halisahihishwi na kosa, kitendo cha chama kinachoomba kushika dola kuwafukuza wanahabari kwa style Ile kimewashusha thamani na kuifanya jamii kuwaona kama viongozi wenye umakini mdogo sana na viongozi wanaofanya kazi kwa visasi na kuligawa taifa
Nguvu ya wanachadema iko nyuma ya keyboards, zamani ilikua kura hawapigi ila mikutanoni wanaenda... sasaivi hata mikutanoni hawaendiSudan hawakupiga kelele mitandaoni walisimama kama vidume na si keyboard warriors
Ukiona wanavyoropoka humu unaweza kusema kesho tu wanakichafua wanachukua nchi.......ila unakuta kesho wanalialia tu waonewa wanataka kuonewa huruma.......hawa makamanda wanasikitisha sanaNguvu ya wanachadema iko nyuma ya keyboards, zamani ilikua kura hawapigi ila mikutanoni wanaenda... sasaivi hata mikutanoni hawaendi
Sijui wanamtegea nani awajengee chama๐๐๐
Siwezi kufanya kazi ya ulinzi kama weweKafanye kazi uone maendeleo kijiweni hakuleti maendeleo
Hawa watu wanasikitisha kweli yaani wanajiita makamanda halafu wanajifungia ndaniUkiona wanavyoropoka humu unaweza kusema kesho tu wanakichafua wanachukua nchi.......ila unakuta kesho wanalialia tu waonewa wanataka kuonewa huruma.......hawa makamanda wanasikitisha sana
Mmezoea sana kula matapishi yenu, huyo ni pole pole wakati yupo na akili zake zimetimiahttps://www.instagram.com/p/CEcuYzupMc9/?igshid=31h3fi40j90mKafanye kazi uone maendeleo kijiweni hakuleti maendeleo
Mnapambana kuiharamisha picha moja ya drone kwa picha zilizopigwa maalumu kwa ajili propaganda kuaminisha watu walijaa. Haitasaidia chama, hii ni sawa na kijana anayeazima nguo mpya aonekane anauwezo apatiwe mke. Kama hamuiamini ya wenzenu wekeni picha yenu mliyopiga kwa drone.
Toooba, aliye kupatia hilo bundle leo katufanyia kitu mbaya, siyo kwa mate na mapovu leo jukwaaniNdio kazi imeanza hairudi nyuma watu wanataka sera damu kila mmoja anachangiwa lakini hasemi!