Uchaguzi 2020 Watu wastaarabu walifuata sera

Kudadadeeeki ndiyo maana mliwatuma ma tbc yenu kwenda kufanya sabotage ya mkutano wa mh Lissu siyo.? View attachment 1551376View attachment 1551377

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapambana kuiharamisha picha moja ya drone kwa picha zilizopigwa maalumu kwa ajili propaganda kuaminisha watu walijaa. Haitasaidia chama, hii ni sawa na kijana anayeazima nguo mpya aonekane anauwezo apatiwe mke. Kama hamuiamini ya wenzenu wekeni picha yenu mliyopiga kwa drone.
 
Kosa halisahihishwi na kosa, kitendo cha chama kinachoomba kushika dola kuwafukuza wanahabari kwa style Ile kimewashusha thamani na kuifanya jamii kuwaona kama viongozi wenye umakini mdogo sana na viongozi wanaofanya kazi kwa visasi na kuligawa taifa
Kuligawa taifa, kuna mtu analigawa taifa kama jiwe?
 
Sudan hawakupiga kelele mitandaoni walisimama kama vidume na si keyboard warriors
Nguvu ya wanachadema iko nyuma ya keyboards, zamani ilikua kura hawapigi ila mikutanoni wanaenda... sasaivi hata mikutanoni hawaendi
Sijui wanamtegea nani awajengee chama😁😁😁
 
Ukiona wanavyoropoka humu unaweza kusema kesho tu wanakichafua wanachukua nchi.......ila unakuta kesho wanalialia tu waonewa wanataka kuonewa huruma.......hawa makamanda wanasikitisha sana
 
Kafanye kazi uone maendeleo kijiweni hakuleti maendeleo
Siwezi kufanya kazi ya ulinzi kama wewe
FB_IMG_1592833724511.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona wanavyoropoka humu unaweza kusema kesho tu wanakichafua wanachukua nchi.......ila unakuta kesho wanalialia tu waonewa wanataka kuonewa huruma.......hawa makamanda wanasikitisha sana
Hawa watu wanasikitisha kweli yaani wanajiita makamanda halafu wanajifungia ndani
 
Back
Top Bottom