Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Ndio asili ya CCM hii...kama kawa business as usual!Hapo ni dodoma leo hii 29.08.2020 asubuhi msululu wa malori yanashusha wana ccm kutoka mashambani, maana wakaazi wa mijini wamesusa kwenda kwenye mikutano ya ccm. View attachment 1551531
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti maisha bora kwa kila mtanzania, haya ni maisha bora kweli?Watanzania wana akili wewe hawahitaji kujua damu umepata wapi sababu wao kila siku damu wanachangiwa na watanzania wenzao!
Utumwa kamwe hauwezi kuisha kabisa kama ccm inaendelea kuwepoNdio asili ya CCM hii...kama kawa business as usual!
Umejitutumua kuongeza jero ujue leo utaukanyaga umeifanyia ushindani!
YameonekanaEti maisha bora kwa kila mtanzania, haya ni maisha bora kweli? View attachment 1551581
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaadika kisukuma?Umejitutumua kuongeza jero ujue leo utaukanyaga umeifanyia ushindani!
Kama haya unayo ishi wewe ya kudoea makoko kwa mama nitilie?Yameonekana
Ili kuondokana na hayo mgombea uraisi lissu kashindwa kusema atafanya nini!Kama haya unayo ishi wewe ya kudoea makoko kwa mama nitilie? View attachment 1551592
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa umeifanyia ushindani!
Tunataka sera!Chadema inafuasi wachache ila inavyoogopwa sasa mpaka aibu
Umemaliza!hao jamaa wanafanyaga siasa za kuwafurahisha waume zao mabeberu ili wawape msaada
Yameonekana
Nyie kwa 60 yrs mmewafanyia nini Watanzania?Ili kuondokana na hayo mgombea uraisi lissu kashindwa kusema atafanya nini!
Kazisikilize Dodoma Diamond atazimwagaTunataka sera!
Umemaliza kila kitu!Sasa hivi huduma za jamii ziko vizuri sanaaa barabara, vivuko, ndege, mali, maji ya uhakika, umeme hadi vijijini, afya Tanzania ni bora na gharama ndogo..... Mabeberu wajipange kukosa wagonjwa kwenye mahospitali yao
Hahahahaaa,TBC waliweka Camera kihuni ili kuwaonesha watu kuwa mkutano haukuwa na watu😁😁😁Kudadadeeeki ndiyo maana mliwatuma ma tbc yenu kwenda kufanya sabotage ya mkutano wa mh Lissu siyo.? View attachment 1551376View attachment 1551377
Sent using Jamii Forums mobile app