Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Ndio asili ya CCM hii...kama kawa business as usual!Hapo ni dodoma leo hii 29.08.2020 asubuhi msululu wa malori yanashusha wana ccm kutoka mashambani, maana wakaazi wa mijini wamesusa kwenda kwenye mikutano ya ccm. View attachment 1551531
Sent using Jamii Forums mobile app