Uchaguzi 2020 Watu wastaarabu walifuata sera

Uchaguzi 2020 Watu wastaarabu walifuata sera

Watanzania wana akili wewe hawahitaji kujua damu umepata wapi sababu wao kila siku damu wanachangiwa na watanzania wenzao!
Eti maisha bora kwa kila mtanzania, haya ni maisha bora kweli?
tapatalk_1547808075921.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema inafuasi wachache ila inavyoogopwa sasa mpaka aibu
 
Sasa hivi huduma za jamii ziko vizuri sanaaa barabara, vivuko, ndege, mali, maji ya uhakika, umeme hadi vijijini, afya Tanzania ni bora na gharama ndogo..... Mabeberu wajipange kukosa wagonjwa kwenye mahospitali yao

Yameonekana
 
Umemaliza kila kitu!
 
Back
Top Bottom