Duh!!Huku mtaani kwetu kuna mdada amefarik kwa kuchomwa kisu cha moyo na mpenz asubuhi hii
Machinjioni hapo pameanza tenaAjali mbaya imetokea asubuhi hii jijini Dar Es Salaam ikihusisha magari mawili moja likiwa Scania Semi - Trailer na Daladala, inasemekana abilia wa daladala wamejeruhiwa na wengine kupoteza maisha.
Pamoja na kuwekwa taa za kuongozea magari, eneo hilo la Chang'ombe linasemekana kuwa hatari kutokana na ajali za mara kwa mara, kwa pamoja tuzidi kuwaombea majeru, tujitahidi kuwasimamia madreva wa gari za abilia kama daladala na mabasi mengine waende kwa umakini zaidi.
Japo kuna mataa, waongeze na matuta.