Hayo madereva ya daladala huwa yanaosha kwenye taa nyekundu ili kuwahiana abiria, ndo maana huwa yanachomekea sana gari binafsi yanapotoka kwenye vituo. Inabidi kamera zifungwe kwenye mataa ili hata wale wanaoosha kwenye mataa alfajiri wakijua hakutakuwa na askari waingie kingi na kupigwa faini kubwa na kunyang'anywa leseni zao.