Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Mie nimeendesha Dar kwa muda mfupi tu ila nilichokishuhudia ni watu wana haraka sana huko barabarani sio sehemu za kuzubaa maana unapewa kubwa anytime.
Af hio njia ya taifa imenyooka kinoma kiasi kwamba inatia nyege za speed ila mataa ndio mengi baada ya kuvuka fly over hadi barabara inayoelekea uhamiaji au mbagala ile.
Malori ni mengi pia so ukisema u filter tu kwenye mataa umeisha 🤣🤣🤣