jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,955
- 9,439
Duh! Pole kwa familia! Vp na huyo Muuwaji Kesha kamatawa na Jeshi la Police!?Huku mtaani kwetu kuna mdada amefarik kwa kuchomwa kisu cha moyo na mpenz asubuhi hii
Duh! Pole kwa familia! Vp na huyo Muuwaji Kesha kamatawa na Jeshi la Police!?Huku mtaani kwetu kuna mdada amefarik kwa kuchomwa kisu cha moyo na mpenz asubuhi hii
Kifo hakikwepeki, wewe omba tu mwisho mwema! Wengine kinawakutaga Nyumba za Wageni!!Ukiangalia kwenye darubini zako na hizi kampeni vipi kaka [emoji16]?
Duuh, mtaa gani huo?Huku mtaani kwetu kuna mdada amefarik kwa kuchomwa kisu cha moyo na mpenzi asubuhi hii.
...mh kwani ume elewa aujaelewa?? Au we we ndo teacher wakiswahili?
Nimemsikia Kamanda Mambosasa akisema chanzo ni Dereva wa Daladala kulazimisha kuvuka taa nyekundi!! Na amekimbia!Imekuwaje mpaka hii ajari imetokea, tena kwenye mataa?
Acheni kuendekeza siasa za kijinga kwenye kila issue.Ana kadi ya CCM
Abilia mi abiria.Hahaha "Abilia" ndio nini au mi nani kwenye hiyo ajali?!