Mtaa gani?Huku mtaani kwetu kuna mdada amefarik kwa kuchomwa kisu cha moyo na mpenzi wake asubuhi hii.
Aisee this is very serious.,Shida ya maeneo yale sio matuta, panaweza kuwekwa matuta na tatizo likawa lipo kama kawaida, shida ya pale ni mataa. Muda mwengine yanakuwa yanajichanganya na kuonesha njia mbili kwa wakati mmoja kuwa zimeruhusiwa. Iliwashahi kutokea siku moja, kutokea taifa imeruhusiwa na kutokea kibasila pia imeruhusiwa. Na hivyo kupelekea mkanganyiko kwasababu anaetokea taifa yuko highway na anaetokea kibasila anakatisha. Muda mwengine mataa huwa hayafanyi kazi kabisa. Afadhali police. traffic wakiwepo huwa wanasaidia sana.
Dereva wa daladala alipita kukiwa na taa red.Chanzo cha ajali ni nini mkuu!!
Dereva wa daladala alipita kukiwa na taa redChanzo cha ajali ni nini mkuu!!
Madereva wa daladala ni mijitu iliyoshindwa maisha mengi ni mavuta bangeHayo madereva ya daladala huwa yanaosha kwenye taa nyekundu ili kuwahiana abiria, ndo maana huwa yanachomekea sana gari binafsi yanapotoka kwenye vituo. Inabidi kamera zifungwe kwenye mataa ili hata wale wanaoosha kwenye mataa alfajiri wakijua hakutakuwa na askari waingie kingi na kupigwa faini kubwa na kunyang'anywa leseni zao.
Chanzo cha ajali ni nini mkuu!!
Amin.Poleni sana wafiwa ndg na jamaa popote walipo mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahali Pema peponi.
Nimeandika kwa uhakika, na sio ku guess.Aisee this is very serious.,
Taa zinafeli na halijawa fixed kweli?.
Si ajali hapo ingekua kila siku
Tunaomba wahusika (?-ni TANROADS ama) wafanyie kazi kuokoa maisha ya watu hapo.,
Umeandika mengi ambayo hayakupaswa kuandikwa na mtu kama wewe. Ajali imehusu lorry na gari ya abiria. Usitoke nje ya hapo mkuu!Uzembe wa madereva wetu na kutokuwa na nidhamu ya kufuata sheria barabarani, tunateketea sana Watanzania kwa kudharau sheria ndogo ndogo tuu kama hizi za barabarani, mtu akishakopa Kigari chake automatic akielekezwa kukanyaga mafuta na kuangalia mbele basi siku mbili tatu anaingia barabarani bila kujua sheria za barabarani,tunapoona taa nyekundu tusimame mpaka taa ya kijan ikiwaka nenda zako, Pia wengine hao madereva wa Daladala na Bodaboda ni hatari sana kwa Uhai wa Watanzania barabarani.
kwamba alikuwa na haraka kiasi ichoDereva wa daladala alipita kukiwa na taa red
Aisee ii hatar sasaUzembe wa madereva wetu na kutokuwa na nidhamu ya kufuata sheria barabarani, tunateketea sana Watanzania kwa kudharau sheria ndogo ndogo tuu kama hizi za barabarani, mtu akishakopa Kigari chake automatic akielekezwa kukanyaga mafuta na kuangalia mbele basi siku mbili tatu anaingia barabarani bila kujua sheria za barabarani,tunapoona taa nyekundu tusimame mpaka taa ya kijan ikiwaka nenda zako,Pia wengine hao madereva wa Daladala na Bodaboda ni hatari sana kwa Uhai wa Watanzania barabarani.
MsameheUmeandika mengi ambayo hayakupaswa kuandikwa na mtu kama wewe. Ajali imehusu lorry na gari ya abiria. Usitoke nje ya hapo mkuu!
Binafsi sina gari, ila siwezi kujenga chuki kwa mwenye gari hata kama ya mkopo! Gari sio luxury kwasasa bali ni usafiri na imekuwa ni moja kati ya mahitaji muhimu.Msamehe
Anajaribu kutoa sumu ya hasira zake dhidi ya wenye magari
Umaskini unaweza kukufanya uwe na hasira zisizo na mpango
Wanakuwaga na vitu vyao mwiliniKwani kigoma wakoje mkuu??[emoji23][emoji23]