Kurudi shule haina maana eti unaanzaa upyaa, ni kwenda kuongeza Mambo mapya yaliyoongezeka kwa fani yako!!Huu ushauri wako sikubaliani nao moja kwa moja kwa sababu udereva ni ule ule tu isipokuwa wanatakiwa kuongezewa uelewa kwenye matumizi ya alama za barabarani, na hii ni kutokana na kuongezeka kwa baadhi ya alama za barabarani.
Mkuu [emoji115][emoji115][emoji115]umeona hiki ulichoandika hapa juu? Umeandika kabisa mabarabara mapya tena ya kisasa!!Mi nashauri Ma dereva wote wa Daladala warudi shule,maana sasa hivi DAR kuna mabarabara mapya tena ya kisasa!! Sizani Kama wanajua kutumia hizo alama mpya za barabarani!!
Barabara haina tatizo kwa dereva na ndio maana nikasema alama tu, sio barabara.Kurudi shule haina maana eti unaanzaa upyaa, ni kwenda kuongeza Mambo mapya yaliyoongezeka kwa fani yako!!
Binafsi sina gari, ila siwezi kujenga chuki kwa mwenye gari hata kama ya mkopo! Gari sio luxury kwasasa bali ni usafiri na imekuwa ni moja kati ya mahitaji muhimu.
"Ukitaka kujua umuhimu wa kuwa na gari, pata mgonjwa saa 8 usiku"
How?
How?
Ulipaswa kuquote kwenye post husika!Kijana mnaropoka bila kujua watu ,unafikiri kila mtu akijitokeza hapa na kutangaza vitu anavyomiliki itakuwaje? Kuwa na maono ya mbali acha kutumia kioo cha simu yako kuona maisha ya watu , uwezi kujua maisha ya watu kupitia kioo cha smartphone yako..
Hapa umehororoja pumba tupu! Kaquote kwenye post husika ili nione pumba zako zinaposimamia, kama zinafaa kuwapa kuku ama bata.[emoji2986][emoji2986][emoji2986]Kijana mnaropoka bila kujua watu ,unafikiri kila mtu akijitokeza hapa na kutangaza vitu anavyomiliki itakuwaje? Kuwa na maono ya mbali acha kutumia kioo cha simu yako kuona maisha ya watu , uwezi kujua maisha ya watu kupitia kioo cha smartphone yako..
Hapa umehororoja pumba tupu! Kaquote kwenye post husika ili nione pumba zako zinaposimamia, kama zinafaa kuwapa kuku ama bata.[emoji2986][emoji2986][emoji2986]
Huwezi kwepa kifo, hata upitie chini ya ardhi dailyhiyo ni costal, lakini ukipanda 'kipanya' kaa ukijua umeweka rehani maisha yako, binafsi kitambo niliisha acha kupanda vipanya, ni bora nipande lori kuliko kipanya
Bro! Sikatai ushauri wako ila niquote kwenye post husika. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji1431]
Bro! Sikatai ushauri wako ila niquote kwenye post husika. [emoji120][emoji120][emoji120]
Hahah hatariHuwezi kwepa kifo, hata upitie chini ya ardhi daily
Huyu naye katoka wapi, ukute na yeye ni baba au mama wa familia fulani🤔🤔Huwezi kwepa kifo, hata upitie chini ya ardhi daily
Inasikitisha sana dahhNimeandika kwa uhakika, na sio ku guess.