Sawa mnufaikaSIO LAZIMA
Jamani kama ushawah fanya biashara china au unafanya .
..ukipata mtaji mzuri na ukiwa na displn ya pesa viduka vya nguo utamiliki tu
Hivi kwanin mnapenda umaskin kias kwamba kila anaetajirika mnamuona ana walakini?
Kila mtu angekuwa na maduka sitaVunja labda kajisogeza kwa babu..ila maduka anayomilk bado ni kawaida sana.
M10 tu kwa biashara ya china ndan ya 2 ys una maduka 6
Yes anaweza Pia Kukupa Hiyo Picha Ili Umwamini. Ila Matajiri hawana Tabia Hizo. Angalia Mwanzoni alivyokuwa anaanza Biashara. Alikuwa anaficha Sura Usiione na Hataki Media Kabisa. Sasa Leo ndio anajua Kuna Marketing Strategy?Marketing strategy tu hizo, we unaona anakula bata na kina mobeto kumbe mwenzio anajipromote...mi nimeingia dukani baada ya kumsikia kwenye media anauza raba elfu 20...na kweli nikazikuta...juzi kati nipo Dom nikaona duka lake, kuzama nikakuta bei zile zile, nikachukua jeans...kwanini asiwe tajiri
Asichojua ni kuwa hadi wanapelekwa mahakamani tayari GCLA ishathibitishaMzigo ukishaenda kwa mkemia unaubadilishaje mzee baba!?
Kawaida tu kama maduka mengine.. ila ndio varieties kibao, anapokukamata ni kwenye bei chee...duka la Arusha kuna mpaka box la kusagula t-shirts...elfu 9...watu wanashona hatari, maanake ukitoka nje tu kwenye maduka mengine utauziwa 15 hadi 20...upo dukani lakini unaeza jihisi upo mitumbani tandikaVp quality zake zikoje
Ova
Huyu naye mhusikaMkuu hapa hatuzungumzii thamani ya alichonacho.
Kuna watu hata chochote hawana lakini ni wauzaji wakubwa wa madawa.
Wasafiri wa hong Kong -- China kuna mazito nyuma ya pazia.
Asichojua ni kuwa hadi wanapelekwa mahakamani tayari GCLA ishathibitisha
Heroin ni mbaya kuliko CocaineKuna mtu alipendekeza madawa ya kulevya yahalalishwe kama sigara. Ina maana yatapatikana kwa wingi na bei itapungua kabisa na watu wataona kufanya hiyo biashara hakulipi. Alisema kinachotakiwa ni kuweka mkazo kwenye elimu ili watu wasitumie.
KILOGRAM THELATHINI?
30 KG?
Watoto wadogo wanaendesha Range Rover si tunapambana miaka nenda rudi ndio tunapata Passo used 4th end baada ya kuchukua mkopo NMB. Dah.
Mkemia MkuuMahakaman gan mkuu iyo?
Huyo mwenye pajama ya blue mbona mofoloji yake inatia shaka? Ni mwanamme kweli? Halafu 24 mbona wana miili mikubwa sana?
Labda kuna mtu kamshauri awe hivi alivyo sasa hivi...Media ukiitumia vizuri inaeza ikakusaidia...mimi labda uniambie unashauku kapata mtaji kwa kuuza ngada hapo nitakuelewa, ila kusema maduka hayamlipi hapo nakataa maana strategy anayotumia ipo very clear sema tu inahitaji mtaji mkubwa...hapa yenyewe tunamuongelea kuna mtu ataona hizi comments atasema ngoja nikajionee hilo duka la fred vunja bei, atanunua hata Bukta...hii mbinu ya kuuza vitu vya kawaida kwa bei chee ila kwa mtaji mkubwa mbona hata kina bakhresa wanatumiaga, kuna kipindi alikuwa anauza hadi chapatiYes anaweza Pia Kukupa Hiyo Picha Ili Umwamini. Ila Matajiri hawana Tabia Hizo. Angalia Mwanzoni alivyokuwa anaanza Biashara. Alikuwa anaficha Sura Usiione na Hataki Media Kabisa. Sasa Leo ndio anajua Kuna Marketing Strategy?
Hao bongo muvi wamekwenda siku ya kwanza tu....Hahaha mahakamani walikuwepo wasani bongo
Movie sasa sjui walijua wataachiliwa kwa dhamana
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mkuu,nairudisha usijaliMkuu yani toka utoe picha ya cheguevera kwenye avatar yako uwa nakupitapita
kiongozi kama jamaa anafanya biashara nyingine sijui ila biashara ya nguo kama una mtaji mkubwa inalipasi kwakua unanunuliwa iphone 12 hata huulizi inapotokea...njoo hapa unambie faida ya jinsi za elfu 10 10 hata kama una maduka 100 unawezaje front kila weekend unamwaga hennesy tu....kama upo karibu yake jiangalie,,,uzuri siku hizi magu hacheki na nyau
Famba mkuu,miezi 2 kitu kishapaukaVp quality zake zikoje
Ova
Anajitangaza sana mshkaji,hapo unaweza kuta mchina anampa mzigo hadi m 300 na uhakika wa kuuza mzigo wote upoMarketing strategy tu hizo, we unaona anakula bata na kina mobeto kumbe mwenzio anajipromote...mi nimeingia dukani baada ya kumsikia kwenye media anauza raba elfu 20...na kweli nikazikuta...juzi kati nipo Dom nikaona duka lake, kuzama nikakuta bei zile zile, nikachukua jeans...kwanini asiwe tajiri
Jeans quality yake ikoje mzeeMarketing strategy tu hizo, we unaona anakula bata na kina mobeto kumbe mwenzio anajipromote...mi nimeingia dukani baada ya kumsikia kwenye media anauza raba elfu 20...na kweli nikazikuta...juzi kati nipo Dom nikaona duka lake, kuzama nikakuta bei zile zile, nikachukua jeans...kwanini asiwe tajiri