Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Wamekamatwa wengi hapa juzi kati....unamfahamu Kiboko yule wa Tegeta...manyumba na hotel zake yamebaki magofu tu...kuna wale waliokamatiwa mtwara...yule mwingine wa Tanga...wote hao ni heavyweights sio kama hawa madogo
Bado kuna "viboko" wengi wasakwe popote walipo. Tunachotaka sisi wananchi ni kukomesha kabisa hii biashara haramu na mbaya kwa vizazi wa taifa hili, tunataka madawa ya kulevya yawe historia kwa Tanzania.

Lisibakie jiwe juu ya jiwe, hatutaki kusikia tetesi za mfanya biashara wa madawa ya kulevya hapa TZ.
 
hamna cha kimya kimya,
tunataka kuona wauza madawa ya kulevya wote ktk mkoa wa DSM wanafikishwa mahakamani, tunataka kuona mitandao kuanzia wakubwa wao mpaka watumiaji wote wanakamatwa.
kwakweli hivi sasa wauzaji na watumiaji wameanza kuibuka tena.
Haya endelea kutaka hivyo hivyo.
 
Hii kesi kuimaliza rahisi sana,hapo unayajenga na mpelelezi,uchunguzi uendelee hata miezi sita,badala ya kilo 30,unapoteza zote unaacha nusu kilo,unachanganya na ngano,Kwanza ni kosa lao kwanza,hapo Hakimu anapunguza miaka mnapigwa,miaka 15!ila kifungo Cha nje,
Mzigo ukishaenda kwa mkemia unaubadilishaje mzee baba!?
 
Hahaha ngoja tuwaulize wajuzi mkuu!
Askari magereza unawajua mkuu
Nadhani anaweza pangiwa kufanya usafi kwa afisa 😂
Ile sheria naona watu waipaganie, ya watu waliopo kule wawe wanakutana na wenza wao hata mala moja kwa miezi. Ni sehemu ya kipato kama serikali itabuni, kuna kuwa na vi lodge kule kama una manzi yako unalipia hata50,000 ili kukwichi kwicho nae.. ila ni lodge zinakuwa ndani ya ngome humo humo
 
Sio bongo muvi tu hata hollywood...biashara ya unga na entertainment industry ni kama pete na kidole
Wauza unga ni watu wa matumizi

Na hao bongo movie etc wanapenda maisha ya mdanandaa maisha ya kila siku xmas bday

Ova
 
SIO LAZIMA
Jamani kama ushawah fanya biashara china au unafanya .
..ukipata mtaji mzuri na ukiwa na displn ya pesa viduka vya nguo utamiliki tu
Hivi kwanin mnapenda umaskin kias kwamba kila anaetajirika mnamuona ana walakini?
Mkuu,,usibishe kitu,,wacha kumchukulia dhamana mtu usiyekuwa nae 100% muda wote..

Unajuwa kama kuna network ya madawa hong kong to China?

Wako watu ukiwakagua Tanzania hapa ni wasafi.
Hana doa lolote.

Lakini hong Kong -- China majina yao makubwa kwenye mambo hayo.

Usimdhamini muuuza kahawa atakuachia birika na sahani ya kashata uje ufungwe.
 
hamna cha kimya kimya,
tunataka kuona wauza madawa ya kulevya wote ktk mkoa wa DSM wanafikishwa mahakamani, tunataka kuona mitandao kuanzia wakubwa wao mpaka watumiaji wote wanakamatwa.
kwakweli hivi sasa wauzaji na watumiaji wameanza kuibuka tena.
Ngumu kuisha mzee maana kila siku wanaibuka wapya

Ova
 
SIO LAZIMA
Jamani kama ushawah fanya biashara china au unafanya .
..ukipata mtaji mzuri na ukiwa na displn ya pesa viduka vya nguo utamiliki tu
Hivi kwanin mnapenda umaskin kias kwamba kila anaetajirika mnamuona ana walakini?
Mkuu, usibishe kitu, wacha kumchukulia dhamana mtu usiyekuwa nae 100% muda wote.

Unajuwa kama kuna network ya madawa hong kong to China?

Wako watu ukiwakagua Tanzania hapa ni wasafi.
Hana doa lolote.

Lakini hong Kong -- China majina yao makubwa kwenye mambo hayo.

Usimdhamini muuuza kahawa atakuachia birika na sahani ya kashata uje ufungwe.
 
Mkuu,,usibishe kitu,,wacha kumchukulia dhamana mtu usiyekuwa nae 100% muda wote..

Unajuwa kama kuna network ya madawa hong kong to China?

Wako watu ukiwakagua Tanzania hapa ni wasafi.
Hana doa lolote.

Lakini hong Kong -- China majina yao makubwa kwenye mambo hayo.

Usimdhamini muuuza kahawa atakuachia birika na sahani ya kashata uje ufungwe.
Hehehe hawajui hawa

Ova
 
Ngumu kuisha mzee maana kila siku wanaibuka wapya

Ova
serikali ikidhamiria kama ilivyo sasa ila wakiongeza mbinu naamini wafanya biashara wa dawa za kulevya wataisha.
mbinu za mapambano zinatakiwa zibadilike, maaana sio rahisi hivyo kumjua muuzaji/mfanyabiashara.
wapo tunaishi nao mitaani jambo la msingi ni kuwa fichua, toa taarifa hakika biashara hii itakwisha.
 
Hahaha ngoja tuwaulize wajuzi mkuu!
Askari magereza unawajua mkuu
Nadhani anaweza pangiwa kufanya usafi kwa afisa [emoji23]
Nlikutana siku moja na mtoto wa lyumba yule
MO dah kawa mmama ilikuwa muhimbili kaja tibiwa tkapeana hi tu
Ila kawa mmama [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Back
Top Bottom